Ever been to Tanganyika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ever been to Tanganyika?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lole Gwakisa, Apr 28, 2012.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  DSC01637.JPG Jamani mlio majuu karibuni Tanganyika, bongo poa sana!
  Jiulize tu Tanganyika iko wapi?
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Utatufanyia favour ukisema hii sehemu ni wapi?
   
 3. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha maeneo ya Tanga. I have been to the Tanganyika of pre independence It was green through out the years. Tembo, mbogo vifaru na ng'ombe walikuwa wanachunga pamoja. Swala, twiga, mbuni walikuwa wanapishana na wanadamu bila hofu. Maji yalikuwa yakitiririka kwenye chemu chemu masaa yote. Watu waliheshimiana sana, jamii ilikuwa moja. Mtoto alikuwa wa jamii, aliyefaulu alikuwa wa kijiji. Aliyesoma alikuwa akisikilizwa bila kuhujumu wasiosoma. etc etc

  Kilichotokea hadi hali hii kuwa hivi ilivyo ya ufisadi wa kila aina unaweza kuileza kuwa ni laana tu.

  Picha hiyo na kibao hicho ni kweli ni ya eneo la Tanga kwenye barabara kuu.

  Thanx for refreshing my memory
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Thanks mkuu.
  The world is surging foward at a terrifying pace na mambo mema ya siku zilizopita tunayasahau.
  Once in a while it is good to reflect on the good old days, its a pity they never come back.
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  natamani nikanunue ekari nyingi za kutosha za kuchungia ng'ombe wa kisasa niweke na kiwanda cha maziwa na products zake...mweeee
   
 6. Kwisimla

  Kwisimla Senior Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hapo ni wilaya ya Muheza kama unaelekea jijini Tanga, kijiji hicho kipo kati ya vijiji vya Lusanga na Mkanyageni. Tena trafiki wenye tochi wanapenda sana kukaa eneo hilo.....
   
Loading...