ommy clear
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 214
- 58
[emoji16][emoji16][emoji16]haliii halisiDogo , soma kwanza ufaidi nyapu za warembo , maana hapo tia kuna visu hatareeee....
Mm nimrsoma TIA evening..Tena una manage vzr coz class ni saa kumi na moja jion mpk saa tatunusiku..Halafu lecturer wanakuwa fair sana evenung kuliko full time..Fany kazi jion ingia class
Sent using Jamii Forums mobile app
Jioni Kuna kozi gani na kwa level gani mkuu?Mm nimrsoma TIA evening..Tena una manage vzr coz class ni saa kumi na moja jion mpk saa tatunusiku..Halafu lecturer wanakuwa fair sana evenung kuliko full time..Fany kazi jion ingia class
Sent using Jamii Forums mobile app
Jioni Kuna kozi gani na kwa level gani mkuu?
Kama una pesa unaweza nilisoma diploma ya biashara utawala online nikiwa nafanya kazi zangu za biasharaSorry waungwana Niko nasoma chuo taasisi ya uhasibu DSM campus , lakini pamoja na hivo nimebahatika kupata kazi sehem so kulingana na hali halisi ya kimaisha nataka nisiache chuo nataka nisome evening class sorry kwa wale wazoefu naomba kujua ni vipi naweza ku-manage hivi vitu viwili kwa wakati mmoja ? Nina nia na dhati ya kufanya ivoo "ahsanten"
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina vielimu nimesoma online sometime nimepoteza hela hata havina msaadaaccountancy, b'nes administration , zote hizo ni kwa bachelor degree
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina vielimu nimesoma online sometime nimepoteza hela hata havina msaada