Ni vema waweka matangazo ya biashara zenu muwe mnaweja nabei msiogope kwani kila mwenye kutaka kununua lazma atataka bei na si laxima apige kwanza simu ndio ajue, kuna wengine wengi tuu ambao huvutiwa na bei kwanza then ndio aje apige simu kuuliza kwa maelezo zaidi, hamjui tuu jinsi mnavyokosa idadi kubwa ya watu kwa kungijea mpaka mpigiwe simu.hamjiamini na biashara zenu?