K kayumba yumba Member Joined Mar 9, 2015 Posts 93 Reaction score 182 Mar 17, 2016 #1 wakuu,nimejaribu kununua kitabu mtandaoni kwa njia ya M-pesa, kwa chahali lakini nimeshindwa kukipata wiki himeshapita sijapata kitabu sijajua kama nimezulumiwa au sijajua njia za kukipata? naombeni ushauri
wakuu,nimejaribu kununua kitabu mtandaoni kwa njia ya M-pesa, kwa chahali lakini nimeshindwa kukipata wiki himeshapita sijapata kitabu sijajua kama nimezulumiwa au sijajua njia za kukipata? naombeni ushauri
dmlabwa Member Joined Dec 28, 2013 Posts 62 Reaction score 17 Mar 17, 2016 #2 Atakutumia. Nami pia nilifikiri hela yangu imeenda lakini nlim-DM kwenye Twitter kumkumbushia akanitumia, he also apologised for the delay.
Atakutumia. Nami pia nilifikiri hela yangu imeenda lakini nlim-DM kwenye Twitter kumkumbushia akanitumia, he also apologised for the delay.