Eva Luxury Soap

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,428
27,070
Mke akitoka alaf akarud ananukia harufu ya hii sabuni basi we usiulize andikaga talaka tu
00dd9e8a7461a9008028280712780f5b.jpg
 
Hivi kwa nini 'huko' wanapenda sana kuzitumia? Ni bei rahisi? Au zimetengenezwa maalum kwa matumizi ya 'huko'?
 
Mke akitoka alaf akarud ananukia harufu ya hii sabuni basi we usiulize andikaga talaka tu
00dd9e8a7461a9008028280712780f5b.jpg
Kwa nini unasema mke, ina maana mwanaume yeye ni ruksa kuitumia huko !! Kama unataka kulinda ndoa yako, ukiwa huko, usithubutu kugusa hicho kisabuni, harufu yake huwa inaisha kwako lakini mtu mwingine anaisikia.
 
Hiyo naaimini ni kwa sababu kwa buku unapata sabuni 6 hivyo kwa watu wa guest wameona ni kupunguza matumizi.
 
Na ukizingatia alitoka na chupi mpya za kabatini akatupia cheni au shanga kiunoni ambazo hakuvaa awali na akaweka pafyum , kipande cha kanga au kitenge na henga chif laini ukiona hivyo vitu vimebebebwa siku hiyo ujue anaenda kuliwa nyama
 
Aisee, nikiona hii kitu tu, basi lazima nigeuke TISS field agent ,
 
Back
Top Bottom