DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
If the United States can conduct an operation in Venezuela to capture Nicolás Maduro, an elected president, and put him on trial in American courts, why is it impossible to capture Benjamin Netanyahu from Israel and bring him before an international court?
Kama Marekani inaweza kufanya operesheni nchini Venezuela na kumkamata Nicolás Maduro, rais aliyechaguliwa, kisha kumfikisha katika mahakama za Marekani, kwa nini isiwezekane kumkamata Benjamin Netanyahu kutoka Israel na kumfikisha katika Mahakama ya Kimataifa?
================