Hii issue ya Russia kuwatwanga inakutesa sana Yahudi mweusi wa Nzega.... sometimes kuna kitu kinaitwa win-win situation. Inakubalika hiyo.
... wewe nguruwe nilishakuonya siku nyingi ku-quote posts zangu!Hii issue ya Russia kuwatwanga inakutesa sana Yahudi mweusi wa Nzega.
Yahudi mweusi hii ni JF'... wewe nguruwe nilishakuonya siku nyingi ku-quote posts zangu!
Kawashika pabaya, hawaamini.Ruble inazidi kunawili na uzuri wa Russia hajamuwekea mtu kikwazo bali kabadilisha utaratibu,kutoka kununua kwa dollar&Euro mpaka kwa hela yake.
Duh wanaume mnafika huko?... wewe nguruwe nilishakuonya siku nyingi ku-quote posts zangu!
Urusi ndie mwenye hasara kubwa. kapoteza askari,silaha na biashara kubwa...Aisee NATO kibri kwisha kabisa!