haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. mabadiliko yako mikononi mwetu,tukiamua kama krgstan walivyoamua watang'oka, wataondoka na tutawasahau kabisaHayo ndiyo mambo yalikuwa yanafanyika ZNZ, ktk muda wote huo wa kupinga matokeo, na matokeo yake ZNZ iliwekewa vikwazo fulani vya uchumi. Nani anaeumia? ni MTZ na siyo CCM.
Tuache mambo ya kwenda kwa Wazungu kudai haki zetu. Sisi wenyewe WTZ tunaweza kufanya mambo yetu bila ya hao Wazungu.
Hayo ndiyo mambo yalikuwa yanafanyika ZNZ, ktk muda wote huo wa kupinga matokeo, na matokeo yake ZNZ iliwekewa vikwazo fulani vya uchumi. Nani anaeumia? ni MTZ na siyo CCM.
Tuache mambo ya kwenda kwa Wazungu kudai haki zetu. Sisi wenyewe WTZ tunaweza kufanya mambo yetu bila ya hao Wazungu.
Tutoe shinikizo kwa EU na USA kuwapiga mkwala wa kwenda ulaya na marekani viongozi wote wa CCM pamoja na familia zao kwa wizi wa kura. Haiwezekani watuibie kura halafu waende kujichana kwa pesa zetu.
CHADEMA huu ni wakati wa kuanza kampeni kwa mabalozi na nchi zote marafiki ili hawa wanoko wakione cha mtema kuni.

Mimi kama Mmarekani sioni sababu ya viongozi wa Tanzania kupigiwa mkwala. Uchaguzi umefuata katiba yenu. Ni katiba yenu inayosema kuwa rais ateue mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, na watu wengine wanaoweza kubadilisha matokeo ya uchaguzi. Hivyo mtu aliyopo madarakani akishinda kwa kutumia madaraka aliyopewa kikatiba, hayo ni matatizo yenu.
- Mkuu mwezi wa Sita, nilikuwa bungeni siku ya Bajeti nikamuuliza Waziri wa Sheria, vipi kuhusu katiba kubadilishwa maana wabunge wa Upinzani wakiwa nje ya bunge wanalia sana na katiba, akasema kwamba hata siku moja ku-raise hii ishu ndani ya bunge, never!
- Wasimamizi wa kimataifa wa huu uchaguzi wamesema kwamba Tanzania tunasumbuliwa na katiba yetu ya zamani sana iliyoundwa specifically kwa ajili ya utawala wa chama kimoja!
William.
Mimi kama Mmarekani sioni sababu ya viongozi wa Tanzania kupigiwa mkwala. Uchaguzi umefuata katiba yenu. Ni katiba yenu inayosema kuwa rais ateue mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, na watu wengine wanaoweza kubadilisha matokeo ya uchaguzi. Hivyo mtu aliyopo madarakani akishinda kwa kutumia madaraka aliyopewa kikatiba, hayo ni matatizo yenu.
Hivi hujui wazungu ni wanafiki zaidi yetu? wakikumbuka wana migodi wamepewa bure ukiwashauri hivyo hawakusikilizi labda siku almasi na dhahabu zetu zikiisha watakuelewaTutoe shinikizo kwa EU na USA kuwapiga mkwala wa kwenda ulaya na marekani viongozi wote wa CCM pamoja na familia zao kwa wizi wa kura. Haiwezekani watuibie kura halafu waende kujichana kwa pesa zetu.
CHADEMA huu ni wakati wa kuanza kampeni kwa mabalozi na nchi zote marafiki ili hawa wanoko wakione cha mtema kuni.
Rubish...Nani kakuuliza wewe mmarekani? sema mimi ni mzamiaji ambae sina hata haki ya kupiga kura marekani....nonsense
Tutoe shinikizo kwa EU na USA kuwapiga mkwala wa kwenda ulaya na marekani viongozi wote wa CCM pamoja na familia zao kwa wizi wa kura. Haiwezekani watuibie kura halafu waende kujichana kwa pesa zetu.
CHADEMA huu ni wakati wa kuanza kampeni kwa mabalozi na nchi zote marafiki ili hawa wanoko wakione cha mtema kuni.
WJC:
Umeleta point moja nzuri sana. Hiyo ya ku-raise issue siku zote namlaumu Mrema kwa kukubali kujiingiza kwenye uchaguzi wa 1995 bila kusoma katiba. Simba na Yanga hawachezi mechi kama mmoja wao anapewa competitive advantage.
Anyway, wataalamu wanasema watu wenye oral traditions, mara nyingi wanatumia kauli za midomoni kuendesha shughuli zao. Mgombeaji wa uchaguzi akiona kwenye kampeni kakusanya watu wengi sana, basi anaamini kuwa atashinda.
Uchaguzi ukimalizika ndio anatambua kuwa wanaohesabu na kusimamia ni watu walioteuliwa na mpinzani wake. Lakini haya mambo yote yapo kwenye katiba.