EU: Pesa zinazojenga Afrika zinatoka Ulaya lakini Wakandarasi ni Wachina ambao hawajatoa hata senti Moja. Afrika ijitathmini

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,080
Reaction score
84,972
Hii hoja imejadiliwa na Bunge la Ulaya kwamba EU inamwaga mabilioni ya Fedha za Misaada na mikopo na fuu Kwa Nchi za Kiafrica Ili kujenga mahusiano ya manufaa Kila upande lakini Afrika inaonekana kutegemea China na Russia ambao hawana Msaada wowote wa kiuchumi Kwa Afrika zaidi ya kunufaika Kwa pesa zinazotoka Ulaya kwenda kujenga Afrika.

View: https://www.instagram.com/reel/DMKNZLQN09W/?igsh=cjB6eWVhZWEzbTFw

My Take
Pamoja na msemo wa anaekufaa Kwa dhiki ndio Rafiki lakini Ulaya & USA waelewe mambo yafuatayo;

1.Kwanza Wazungu waelewe kwamba Afrika inaiona Ulaya na USA kama makoloni Bado,so Misaada Yao na mikopo ni kurehesha tuu fadhila ya kile walichoiba zamani.

2.Pili Ulaya waelewe kwamba Africa inahitaji kuheshimiwa kuliko kupewa Fedha, haitaki uhusiano wa mmja kuonekana ni bwana (Ulaya & USA) na mwingine mtumwa (Africa) wa kupewa so hii mentality ndio inafanya kwamba Afrika iegemee China na Russia at EU expenses licha ya hizo Mataifa kutotoa hela Zozote.Jamii za kiafrika zinathamini Heshima na utu kwanza.Pia soma (2) Je, ni sawa Bunge la EU kuingilia uhuru wa mahakama zetu lakini si sawa AG wetu kufanya hivyo? Kisa ni hizo USD 170 million kwa mwaka wanazotupa | JamiiForums Je, ni sawa Bunge la EU kuingilia uhuru wa mahakama zetu lakini si sawa AG wetu kufanya hivyo? Kisa ni hizo USD 170 million kwa mwaka wanazotupa

3.Afrika haifungamani na upande wowote.

Mwisho Nchi za kiafrika nazo zijitathimini athari za mda mrefu za mahusiano na China na Russia kama tutaishia kupewa Heshima tuu huku tunanyonywa.

Afrika ikuze intra-Africa mutual interdependence ndio kitatusaiia badala ya kuhangaika na hao watu weupe bila kujali Bara wanakotokea.
 
Kusema ukweli hata Mimi ningekuwa EU ningehoja , haiwezekani unaemsaidia hathamini mchngo wako.

Mfano hapa Tanzania miradi Mingi sana kwenye sekta za maji,Elimu,Nishati na miundombinu ya usafiri ni Fedha za Ulaya eg viwanja vya ndege zaidi ya 6 vinajengwa na pesa za ulaya na miradi mingine rundo ila wakandarasi ni Wachina.

Binafsi sijawahi sikia mradi wowote wa pesa za China japo wa Mkopo zaidi ya Tazara sijui kujengewa uwanja nk.

Wachina sijaona wakiweqza kwenye miundombinu ya Kusaidia uchumi wa Afrika Kwa mda mrefu.
 
Sasa mbona unajipinga mwenyewe?
 
Hizo ndio akili za watu unaowatetea na kuwaimbia mapambio kila siku, sisi waAfrica wengine hatuna hizo akili.

Hayo yote Africa yataisha kizazi cha wapigania uhuru na vyama kama CCM vikifa, hapo ndio kwenye shida kubwa ya Africa, kizazi cha sasa kinawaza kwa haraka sana na kinahitaji speed kwenye ufanyaji wa mambo.

ndani ya Fallujah - Iraq.
 
Unajua kuwa BRI ya China inatoa msaada zaidi kwenye ujenzi wa miundombinu kuliko taifa lingine lolote duniani sio Marekani wala EU inawafikia?

downloadfile-4.jpg

Hizo ndio akili za watu unaowatetea na kuwaimbia mapambio kila siku, sisi waAfrica wengine hatuna hizo akili.

Hayo yote Africa yataisha kizazi cha wapigania uhuru na vyama kama CCM vikifa, hapo ndio kwenye shida kubwa ya Africa, kizazi cha sasa kinawaza kwa haraka sana na kinahitaji speed kwenye ufanyaji wa mambo.

ndani ya Fallujah - Iraq.
Kuna kesi gani ambayo natetea watu au CCM?

Kuelezea kilochofanyika na kutoa appreciation ya kilochofanyika ikiwemo input yangu ni mrejesho na sio pambio za kuimbia watu.
 
Hii hoja imejadiliwa na Bunge la Ulaya kwamba EU inamwaga mabilioni ya Fedha za Misaada na mikopo na fuu Kwa Nchi za Kiafrica Ili kujenga mahusiano ya manufaa Kila upande lakini Afrika inaonekana kutegemea China na Russia ambao hawana Msaada wowote wa kiuchumi Kwa Afrika zaidi ya kunufaika Kwa pesa zinazotoka Ulaya kwenda kujenga Afrika.

View: https://www.instagram.com/reel/DMKNZLQN09W/?igsh=cjB6eWVhZWEzbTFw

My Take
Pamoja na msemo wa anaekufaa Kwa dhiki ndio Rafiki lakini Ulaya & USA waelewe mambo yafuatayo;

1.Kwanza Wazungu waelewe kwamba Afrika inaiona Ulaya na USA kama makoloni Bado,so Misaada Yao na mikopo ni kurehesha tuu fadhila ya kile walichoiba zamani.

2.Pili Ulaya waelewe kwamba Africa inahitaji kuheshimiwa kuliko kupewa Fedha, haitaki uhusiano wa mmja kuonekana ni bwana (Ulaya & USA) na mwingine mtumwa (Africa) wa kupewa so hii mentality ndio inafanya kwamba Afrika iegemee China na Russia at EU expenses licha ya hizo Mataifa kutotoa hela Zozote.Jamii za kiafrika zinathamini Heshima na utu kwanza.

3.Afrika haifungamani na upande wowote.

Mwisho Nchi za kiafrika nazo zijitathimini athari za mda mrefu za mahusiano na China na Russia kama tutaishia kupewa Heshima tuu huku tunanyonywa.

Afrika ikuze intra-Africa mutual interdependence ndio kitatusaiia badala ya kuhangaika na hao watu weupe bila kujali Bara wanakotokea.

Wewe ni mjinga mwingine, hiyo pesa angepewa MECCO (sijui wakati huo ulikuwa umezaliwa), hizo pesa zingebaki Tanzania, sasa kwa sababu ya 10% mnawapa kila kitu wachina. IQ ya mwafrika ni ya kuku kweli. Hivi kwa nini hata kitu cha kawaida kama hiki hatujui?
Halafu hizo sababu, eti waliwaibia, unajua Japan aliiba ngapi kutoka Nchi za Asia na China, kwani unafikiri waliiba Afrika tu? Hao wengine mbona wanajitambua. Puuzi wewe.
 
Unajua kuwa BRI ya China inatoa msaada zaidi kwenye ujenzi wa miundombinu kuliko taiafa lingine lolote duniani sio Marekani wala EU inawafikia?

View attachment 3408429

Weka mfano hapa Tanzania sema imetoka pesa kwenye mradi X Kupitia labda benki ya China fulani nk.

Lakini hata kama wanatoa je ni Kwa kiwango kama Cha EU & USA?

Lakini pia Msaada wa China Huwa naona ni vitu visivyo na msingi kama kujenga viwanja vya mpira,majengo ya Utawala labda na chulo ila sijawahi ona Barabara Wala maji.
 
Wewe ndio mjinga sijua hata umeandika pumba gani?

Hoja Yako ni ipi hasa? 10% inaingiaje hapo?
 
Unajua kuwa BRI ya China inatoa msaada zaidi kwenye ujenzi wa miundombinu kuliko taiafa lingine lolote duniani sio Marekani wala EU inawafikia?

View attachment 3408429

Wewe unaangalia hizo figures? Huwa wana-pledge halafu utoaji hakuna, au wanatoa vifaa kwa Currency yao halafu wanahesabu deni kwa dollar, janja yao wewe kapuku huwezi kujua. Pesa yote inarudi China in Dollars.
 
Hii hoja imejadiliwa na Bunge la Ulaya kwamba EU inamwaga mabilioni ya Fedha za Misaada na mikopo na fuu Kwa Nchi za Kiafrica Ili kujenga mahusiano ya manufaa Kila upande lakini Afrika inaonekana kutegemea China na Russia ambao hawana Msaada wowote wa kiuchumi Kwa Afrika zaidi ya kunufaika Kwa pesa zinazotoka Ulaya kwenda kujenga Afrika.

View: https://www.instagram.com/reel/DMKNZLQN09W/?igsh=cjB6eWVhZWEzbTFw

My Take
Pamoja na msemo wa anaekufaa Kwa dhiki ndio Rafiki lakini Ulaya & USA waelewe mambo yafuatayo;

1.Kwanza Wazungu waelewe kwamba Afrika inaiona Ulaya na USA kama makoloni Bado,so Misaada Yao na mikopo ni kurehesha tuu fadhila ya kile walichoiba zamani.

2.Pili Ulaya waelewe kwamba Africa inahitaji kuheshimiwa kuliko kupewa Fedha, haitaki uhusiano wa mmja kuonekana ni bwana (Ulaya & USA) na mwingine mtumwa (Africa) wa kupewa so hii mentality ndio inafanya kwamba Afrika iegemee China na Russia at EU expenses licha ya hizo Mataifa kutotoa hela Zozote.Jamii za kiafrika zinathamini Heshima na utu kwanza.

3.Afrika haifungamani na upande wowote.

Mwisho Nchi za kiafrika nazo zijitathimini athari za mda mrefu za mahusiano na China na Russia kama tutaishia kupewa Heshima tuu huku tunanyonywa.

Afrika ikuze intra-Africa mutual interdependence ndio kitatusaiia badala ya kuhangaika na hao watu weupe bila kujali Bara wanakotokea.

Labda nikuulize mkuu, hawa watoa misaada wao wananufaika na nini? Ina maana wao matatizo yao wameshayamaliza yote? Mbona kama wanagombania kutupa misaada. Lazima kutakuwa na siri hapo. Mimi siwezi kugombana na jirani kuwa nani apewe nafasi ya kukupa wewe misaada wakati sipati chochote kutoka kwako
 
Misaada ni njia ya kumvuta mtu upande wako ndio maana unaona wanajiliza.

Kwa navyojua Mimi lengo ni kupata pia fursa za kiuchumi na Biashara maana Dunia ni ushindani so pale ambapo mfumo wa biashara unaegemea sana kuwanufaisha upande mmja(Ulaya) basi wanatoa chochote kitu Ili kumfanya mashirika aendelee kuwepo.

Lakini pia wanataka kufungwa mkono kwenye hoja zao za diplomasia kwenye uga wa Kimataifa ndio maana unaona huyo Mbunge ametolea mfano ishu ya Ukraine kwamba hata kupiga tuu kura ni shida.
 
Misaada ni njia ya kumvuta mtu upande wako ndio maana unaona wanajiliza.

Kwa navyojua Mimi lengo ni kupata pia fursa za kiuchumi na Biashara maana Dunia ni ushindani so pale ambapo mfumo wa biashara unategemea sana kuwanufaisha basi wanatoa chochote kitu Ili kumfanya mashirika aendelee kuwepo.

Lakini pia wanataka kufungwa mkono kwenye hoja zao za diplomasia kwenye uga wa Kimataifa.
Nimekupata mkuu
 
Weka mfano hapa Tanzania sema imetoka pesa kwenye mradi X Kupitia labda benki ya China fulani nk.

Lakini hata kama wanatoa je ni Kwa kiwango kama Cha EU & USA?

Lakini pia Msaada wa China Huwa naona ni vitu visivyo na msingi kama kujenga viwanja vya mpira,majengo ya Utawala labda na chulo ila sijawahi ona Barabara Wala maji.
China ndio inaongoza kwa kutoa misaada kwenye economic development projects kama barabara n.k
 
Taja mfano Mzee Wacha maneno mengi 😂😂

Niko sekta hiyo nimekwambia sijawahi kuona financier akiwa China.

Kwenye Barabara utakuwa EU,WB,IMF,AfDB,Nchi za Arabuni na kidogo USA ila sio China Wala Russia.

Ndio maana hata huko WB ,Trump anataka China ichangie zaidi badala ya kunufaika na pesa za wengine vinginevyo ajitoe.

China ni matapeli ,licha ya pesa zote hizo ya Wazungu wao ndio Wakandarasi namba 1,hapo mzungu hajaweka sharti la kwamba lazima mkandarasi atoke kwake.
 
Wewe unaangalia hizo figures? Huwa wana-pledge halafu utoaji hakuna, au wanatoa vifaa kwa Currency yao halafu wanahesabu deni kwa dollar, janja yao wewe kapuku huwezi kujua. Pesa yote inarudi China in Dollars.
Nani alikwambia hiyo ni pledges?

Hiyo ni total value ya projects ambazo tayari China imeshafanya sehemu mbalimbali duniani.

Na hilo lilikuwa linazungunziwa kwenye bunge la Marekani wakiwa na wasiwasi kuwa China imekuwa na ushawishi mkubwa duniani kwenye kutoa misaada kuizidi kwa mbali Marekani kwenye infrastructure
 
Back
Top Bottom