EU Observer, Mbowe, Kova na Kura za Tunduma

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Posts
8,167
Reaction score
3,272
Nimejitahidi kufuatilia matokeo ya kura Tunduma yaliyotangazwa na NEC sijayaona. Mwenye uhakika NEC wametangaza Tunduma atuwekee hapa. Na kama haya jatangazwa.

Ningeshauri Kova awachukue EU watazamaji wamfuate Mbowe awaambie hizo kura za Tunduma alizotaja kazitoa wapi na zimetangazwa na NEC ipi ya CHADEMA ama NEC ya Taifa.

Na kama NEC ya Taifa ndo imetangaza basi Mbowe alete mawakala wote wa vyama hivyo copy yake na aoneshe mbele ya media.
 
Mbowe amesaliti watanzania.. lazima ahahe juu chini kujaribu kuonyesha kuwa wameshinda japo ukweli anaufahamu..
 
Mbowe inabidi atueleze ni NEC ipi anaongelea. Maana mie nimejitahidi kuyatafuta sijaona labda mwenye nayo atusaidie.
 
Nimejitahidi kufuatilia matokeo ya kura Tunduma yaliyotangazwa na NEC sijayaona. Mwenye uhakika NEC wametangaza Tunduma atuwekee hapa. Na kama haya jatangazwa.

Ningeshauri Kova awachukue EU watazamaji wamfuate Mbowe awaambie hizo kura za Tunduma alizotaja kazitoa wapi na zimetangazwa na NEC ipi ya CHADEMA ama NEC ya Taifa.

Na kama NEC ya Taifa ndo imetangaza basi Mbowe alete mawakala wote wa vyama hivyo copy yake na aoneshe mbele ya media.
Acheni UONGO. Tunduma imetangazwa saa ngapi?

HIVI HAMJACHOKA TU KUSEMA UONGO.
 
Sasa kama haijatangazwa - Mbowe kayapata wapi hayo matokea? Hivi hii nchi haina sheria za makosa ya uchochezi?
Muulizeni, maana wengi wenu ni wafuata Mkumbo, hamuendi kwa facts.

Nionyeshi yalitanganzwa saa ngapi na nipe link.
 
Mbowe alikuwa ameshaandaa matokeo yake ya NEC yake. Sasa baada ya Kova kuwakurupisha nafikiri walichomoa faili wakidhani imeshatangazwa ili kudanganya watu. Mwenye matokeo ya Tunduma yaliyotangazwa na NEC atuwekee.
 
Nimejitahidi kufuatilia matokeo ya kura Tunduma yaliyotangazwa na NEC sijayaona. Mwenye uhakika NEC wametangaza Tunduma atuwekee hapa. Na kama haya jatangazwa.

Ningeshauri Kova awachukue EU watazamaji wamfuate Mbowe awaambie hizo kura za Tunduma alizotaja kazitoa wapi na zimetangazwa na NEC ipi ya CHADEMA ama NEC ya Taifa.

Na kama NEC ya Taifa ndo imetangaza basi Mbowe alete mawakala wote wa vyama hivyo copy yake na aoneshe mbele ya media.

Yaliyotanganzwa na NEC ni 6000
Matokeo yaliyosainiwa ni haya hapa 👇
 
Attachments

  • 1445981004632.jpg
    1445981004632.jpg
    32.5 KB · Views: 543
HahaYaani wewe unasoma matokeo kupitia BBC Swahili? Pole sana..!!

Ni moja ya source, tunakaribisha source zote. Weka audio ama video yoyote NEC taifa wakisoma matokeo ya Tunduma. Na hakuna haya mnayosambaza mmetoa wapi?
 
CHADEMA wenda wanaonyesha matokeo ya mbunge na kusema ya rais. hebu mui zooom vizuri kwenye majina tuone pia. Japo matokeo ya rais hayajatangazwa na NEC ya Tunduma
 
Back
Top Bottom