EU:Hatutoruhusu Marekani iingilie uhusiano wetu na Iran

Hakukua na siri ,ni marekani ndio aliyeweka kauzibe.Na hii ndio ingekua silaha ya kwanza kwa Urusi kununua toka nje.na wameamua kuendelea kununua kama ikibidi.Nitaweka sababu za kutaka kuanza kufanya hivyo.
Sio silaha ya kwanza,Urusi amekua akinunua drone za high tech toka Israel muda mrefu,na wanasema wazi kwamba wanatumia hizo drones kuboresha zao
Russia buys 12 spy drones from Israel

Dzirkaln said the main goal of the purchase was to study the Israeli achievements in the development of spy drones in order to build reliable UAVs domestically.

"We must take their know-how and put it to practical use [in developing our own craft]," the official said.

The Russian military stressed the need to provide its Armed Forces with advanced means of battlefield reconnaissance in the wake of a brief military conflict with Georgia last August, when the effectiveness of Russian military operations was severely hampered by the lack of reliable intelligence.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia Mocks America for Buying Israel's Iron Dome

The U.S. may buy Israel's Iron Dome missile defense system.

And Russia is laughing.

"Israel Markets 'Essentially Failing' Iron Dome Missile Defense System to US Army," read the headline in Sputnik News.
 
In any event, why would Russian media criticize a possible sale of Israeli missile defense technology to America? One reason could be that Russia doesn't want America to get its hands on Iron Dome. Or, it could simply be an opportunity to disparage the competition—Russia and Israel are both major weapons exporters—and sow a little trouble in the U.S.-Israel alliance at a time when Israel and Russia forces could potentially engage in combatover Syria.

Kwa hapa Mkuu ze, wote wawili US na RUS wanaoneanaga wivu mmoja akiuziwa silaha na nchi nyingine,ni katika ile hali kuona kwamba adui ata aquire high tech from third party,propaganda za namna hii huchukua nafasi .mfano ni ile helcopter carrier ya France kwa Russia
 
Yeah...hata Israel alipouza hizo drones kwenda Russia, Marekani alikua mbogo dhidi ya Israel.

Biashara ya silaha ina faida ya mabilioni ya Dola hivyo lazima kuoneana wivu kama mpinzani atapata teknolojia kuzidi mwenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom