Eto'o anapoamua kumdhihaki Special One

Eto'o anapoamua kumdhihaki Special One

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Eto'o anafunga bao maridhawa nakufanya Chelsea kuongoza anakimbia kwenye kibendera na kukishika na kisha kwa mwendo wa kizee ana jikongoja taratiiiibu
hii ni kufuatia wanaoponda kuhusu umri wake
safi eto'0
 
Mourinho ana mauchawi bana aaagh
 
Bila kumponda angeendelea kua mzembe, binafsi bado nampongeza Mourinho pamoja na kuhojI umri wake lakini bado anamtumia.!
 
Ila mi nadhani ile kitu mourinho alikuwa anataka tension Flani ya media japo Ina kaukweli ndani yake kwa sababu he na samweli naona ni marafiki wazuri tu.pia alikuwa anaihadaa ile timu pinzani #nakubaliwa kukosolewa.
 
Special ana kawaida ya kuchezea akili Za wapinzani wake kwa issue hii ya Eto kawapata .....jamaa litazidi kuwafunga tu....
 
Dhihaka ipo wapi??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
1544368_10152222567794641_1457637597_n.jpg
 
etoo kwa mtazamo wangu ni mshambuliaji mzuri tatizo lake ni pale anapopiga chenga sehemu inayohitaji atoe pasi au afunge kitu kinachosababisha anyanganywe mpira
 
Back
Top Bottom