Hata mkataba wa uendeshaji ukiwa wa hovyo hakuna tutakachonufaika nacho.Mikataba ya uendeshaji mbona haina shida, shida inakuja kutaka kumilikisha hiyo miundombinu kwa mgeni mpaka mwisho wa dunia.
Umesahau mkataba wa Rites kuendesha TRL? Si ilibidi watimuliwe baada ya kuonekana ni wavurugaji?!


