Etihad Airways: Mmetoa post hamjaweka Tanzania kwenye list yenu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,579
Hi makamanda wa etihad airways

Niko nawasaidia watu kuapply hapa ofisini step ya kwanza nzuri ya pili mnasema chagua nchi, kwenye list yenu hakuna tanzania na hakuna means ya kuandika manually mnawasaidiaje kuongeza Tanzania kwenye list yenu ama mlimaanisha hizo post za Uganda mkaandika za Tanzania bila kuorodhesha nchi yetu

Angalien tena Managers mjisahihishe
 
Usilazmishe dirisha kua mlango...kama haipo ni haipo tu. Hao sio ATC.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom