..eti x-ameni-miss....

..eti x-ameni-miss....

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
111
..wana jamvi habarini za leo...!!!! kuna wakati fulani niliwahi kuomba ushauri hapa, nilikorofishana na aliyekua BF wangu..nashukuru sana wana jamvi ushauri wenu umenisaidia sana kwani kwa sasa nmeweza kusimama imara na nmemtoa mawazoni japo salaam za kawaida zina exist. kituko kinakuja sasa hivi karibuni kanieleza eti "ameni-miss"..... hebu nisaidieni hapo maana anaulizwa umemiss nini anajiumauma tu....haeleweki...nimueleweje huyu kiumbe anataka kuniumiza tena? au ndo hatua za kuanza kulilia 2nd chance? sielewi...!
 
kukumiss dhambi!? hata kama watu mki breack up still you can miss one another
 
amemiss kubadilishana vikojoleo huyo.... Haya kamsaidie mwenzio umetoka nae mbali
 
Hahahaa... Umenichekesha sana mtoa mada!
Hapo hakuna ubishi kama nawe umemmis na unaelewa nini anamaanisha..!
Usijivunge bi dada, kama vipi nyie endelezeni tuu game...!
 
Hana lolote huyo, anataka muwe mnapeana game za kirafiki, kwa minajili ya KUJIKUMBUSHIA ZILIPENDWAAA! Wala usikubali atakufuja bureee, hakuhudumii afu anataka mambo burebure. Mimi mwenzio jitu nikiliacha likijifanya kinganganizi dawa moja tu ni KUTANGAZA NJAAA MWANZO MWISHO! Anza na kodi ya nyumba, vocha, nguo Mr Price, less wigi mpaka kiranga kimtoke! SHAMBA LILISHAMSHINDA WAMELILIMA WENZIE YEYE ANATAKA KUJA NA KAPU AVUNE!!!!!! Chinekeeeeeee! I beeeeeg Ohhhhhh!
 
Kukumic 2 hujakutana na vingine bdo anachokuambia ni kwel kakumic guec hata wew umemmic pia potezea 2 take it normal
 
nani kasema wapendanao huachana....... any way what was the source?
 
unadhani kamiss nini?
Si ulisonga? Kwa nini akikwambia kakumiss kiroho kinakuruka? Akikwambia anakupenda si ndo utamkimbilia?
 
..wana jamvi habarini za leo...!!!! kuna wakati fulani niliwahi kuomba ushauri hapa, nilikorofishana na aliyekua BF wangu..nashukuru sana wana jamvi ushauri wenu umenisaidia sana kwani kwa sasa nmeweza kusimama imara na nmemtoa mawazoni japo salaam za kawaida zina exist. kituko kinakuja sasa hivi karibuni kanieleza eti "ameni-miss"..... hebu nisaidieni hapo maana anaulizwa umemiss nini anajiumauma tu....haeleweki...nimueleweje huyu kiumbe anataka kuniumiza tena? au ndo hatua za kuanza kulilia 2nd chance? sielewi...!
Kwanza neno haka hilo kwanini likushughulishe? hujawahi kulisikia au hukulitarajia kwa sasa kutoka kwake?
Ebu jiulize nafsi yako bado na wewe moyo unakudunda na unashauku ya kutaka kujua ebu achana nae mpuuze na mdharau ebu jikazeeeeeeeeeeeeee....
 
Hana lolote huyo, anataka muwe mnapeana game za kirafiki, kwa minajili ya KUJIKUMBUSHIA ZILIPENDWAAA! Wala usikubali atakufuja bureee, hakuhudumii afu anataka mambo burebure. Mimi mwenzio jitu nikiliacha likijifanya kinganganizi dawa moja tu ni KUTANGAZA NJAAA MWANZO MWISHO! Anza na kodi ya nyumba, vocha, nguo Mr Price, less wigi mpaka kiranga kimtoke! SHAMBA LILISHAMSHINDA WAMELILIMA WENZIE YEYE ANATAKA KUJA NA KAPU AVUNE!!!!!! Chinekeeeeeee! I beeeeeg Ohhhhhh!

Sawa sawa, na hii ndio dawa yao. EX wako akijifanya amekumiss MPE MAJUKUMU MAZITO ambayo hukuwai kumpa. sio elfu 10 za voucher, mwambie ajenge ukuta uliobomoka.
 
Tatizo liko wapi?Kuachana siyo kujenga uadui,bado mnaweza kusaidiana mambo mengi tu hata hayo ya "kumisiana"
 
..wana jamvi habarini za leo...!!!! kuna wakati fulani niliwahi kuomba ushauri hapa, nilikorofishana na aliyekua BF wangu..nashukuru sana wana jamvi ushauri wenu umenisaidia sana kwani kwa sasa nmeweza kusimama imara na nmemtoa mawazoni japo salaam za kawaida zina exist. kituko kinakuja sasa hivi karibuni kanieleza eti "ameni-miss"..... hebu nisaidieni hapo maana anaulizwa umemiss nini anajiumauma tu....haeleweki...nimueleweje huyu kiumbe anataka kuniumiza tena? au ndo hatua za kuanza kulilia 2nd chance? sielewi...!
na we unataka bana!hebu jirudie tu usiulize miswali mingi hapa!
 
Back
Top Bottom