Eti wanawake huwa hawacheat

I `d rather walk away and (may be) start all over again, to hell with the investments!,......but this?!!, haki the guilty will kill me, how do you look your hubby/wife on the face after cheating?!
 
Khe khe khe khe ukishakamilisha utafiti utupe hitimisho la utafiti wako. Muke na mume walikutana huko kwa kujirusha kwa short time kila nafasi iliporuhusu. Wakakuta wanafurahia sana kuwa pamoja wakaanza kwenda kwenye lunches/dinners/movies na hata clubs kwenda kujirusha. Mwisho wakagundua kwamba wanapendana sana pamoja na kuwa wamo kwenye ndoa na watoto pia ndani ya ndoa zao. Wakakaa chini waamue wafanye nini kuhusu penzi lao, ndipo walipoamua kuwatosa spouses wao ili waweze kuwa pamoja kwa raha zao. Utafiti mwema

 
But that sounds like a promise kwa atakayemkubali...ni kama anajua mteja wake atahitaji usiri...haijakaa ki condition...

 
I recall dating someone's wife married for over a decade and with kids. She's cheated (elsewhere) to the point of conception!

Wanawake wengi tu wanachepuka. Asilimia kubwa hucheat kutafuta anachokosa ndoani. Wanaume huchepuka just for fun. Hata kama mke anafanya 'kila kitu'!
 
Huyu Virgo mwenzangu nae vipi...mimi nilidhani sie tuko honest na hatupendi kupindisha sheria...

 
wanawake wengine wanachepuka sababu ya kisasi...

Ni rahisi sana kumpata mke wa mwanaume ambaye ni serial cheater na mkewe anajua...

 

Hukua na reason?!, you just doing it for fun?!....hata fun ni reason.....lol!, but my question is, how do you feel afterwards? no remorse?
 

Hahaha umefanya nitabasamu.Yes design yako wapo wengi tu,na wasiocheat wapo pia ingawa kundi hili ni wachache.(Nimeongea kutokana na ambayo nashuhudia ktk jamii inayonizunguka)
 
...but this?!!, haki the guilty will kill me, how do you look your hubby/wife on the face after cheating?!

Probably in a better perspective given the reason why you 'slipped'........
 
Reactions: kui
How bout couples who have threesome?

Hey, if that's what they like and what they want and they have all agreed to it, who am I to have an issue with it?

To each his own Cuzzo. Don't you agree?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…