Eti Wanawake Hutongoza ?

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Napenda kuuliza ,kwani wengi huona mengi ,hivi wapo wanawake wanaotongoza wanaume ? Mbali na wale machangudoa wa mabarabarani nazungumzia wanawake wakwaida ambao huwa wanajiheshimu ,na huweza kufananisha na wanaume kwa uwepo wa utongozaji ndani ya nafsi zao na kuweza kutongoza ,pengine kumvizia jamaa njiani au uchochoroni na kumpa maneno au pengine ofisini ,hivi wnawake huwaga nao wanatongoza ,kivipi ?

Umewahi kukutana nao au yamewahi kukutokea au kukuta !!! :A S 39:
 
^^
Hapana,,wanawake hawatongozi bali huelezea upendo wao kwa wampendae.
Si dhambi kujieleza wanavyojisikia
^^
 
Dah... Wewe mkuu kwani umezaliwa wapi na kukulia wapi?Wanatongozaga tena wanasumbua mbaya akikukaganda hadi anakutishia atajinyonga usipompa penzi lako,halafu wanahonga mbayaa....!!
Mapenzi ni ya wote ni haki yao tusiwahukumu!!tena hiyo mimi naona ndo inakua poa akiji express herself
 

siku nikikutongoza utajisikiaje!!!!!!!!!!!
 
Shida ya mwanamke anayetongoza atakupeleka kwenye extremes mbaya sana za mapenzi.
Amini usiamini kama umeoa ndoa yako itakuwa inapumulia mashine.
 
Wanaume wengi wanaotongozwa na wanawake huwa wanawakubalia. Wengi hawachomoi kwny mtego wao
 

Ili mjadala uende vizuri, kisomi anyway, let us first define what is kutongoza and have a common base for putting our arguments! If we really want to know if a whale is a fish, we should first define the characteristics of a fish and see if a whale has those characteristics!
 
^^
Hapana,,wanawake hawatongozi bali huelezea upendo wao kwa wampendae.
Si dhambi kujieleza wanavyojisikia ^^

Hapana hawatongozi ,ndivyo ulivyosema naona tayari kumekuwa na mvutano .
 
Wanaume wengi wanaotongozwa na wanawake huwa wanawakubalia. Wengi hawachomoi kwny mtego wao
ni kweli!

halafu mwanamke anayetongoza huwa habipu hata mara moja!!

yeye anatwanga tu!
 
MM nilitongozwa na mwalimu alikuwa ananletea zawad kama taulo, badae akaongea na mdogo wangu kike wanifanyie mchezo nkatoka out na dogo kufika kitaa dogo+demu wakakutana badae dogo kanizingua et kuna kitu amesahau home akasepa nkabak mm na mtuhumiwa tukapga stor badae, uck kapga cm umefka? nmefurah kuchat naww kumbe mchesh? lin tena tutapga stor?
badae sana baada kupga mzgo dogo akasema nilikuwa napendwa
 
Hapana hawatongozi ,ndivyo ulivyosema naona tayari kumekuwa na mvutano .

^^
Mvutano upi? Kutongoza maana yake kushawishi mtu akubaliane na matakwa yako..mwanamke anakuambia anakupenda hakubugudhi tena ila mwanaume unang'ang'ania miaka nenda miaka rudi..nani ametongoza?
^^
 
"SIRI AMBAYO WANAWAKE HAWAIJUI NI KWAMBA UKIWA JASIRI(HAPA NDO WENGI WANAFELI) UKAMTONGOZA MWANAUME 99.9% ATAKUKUBALIA...!!"take it from me.ishawahi hadi fanyiwa utafiti duniani kote
 

Unaweza kuwatofautisha vipi machangudoa na wanawake wa kawaida?
 
Wapo wanawake wanaotongoza, na mwanamke akimtongoza mwanaume jua amempenda kweli coz wanawake wanaongozwa na upendo, sio kama wanaume wanaongzwa na tamaa
 
Ei! wanatupa mawe hao akikupangia wiki hii hutoki, hutoki kweli haimali wiki/ tena wana maneno matamu na vile wakiongea wanatetemeka kwa hisia na kuangalia chini basi wew huko ulishazima kitambo
 
sikukatalii hata kidogo sema nitang'atang'ata kidole kidogo halafu nakuuliza tu unataka kunichezea au...........!!teh tehe ha ha LMAO

hahaaaaaaaa we subiri siku yako yaja........nakulia mingo tu hum mjengoni
 
Dunia hii jujawahi tongozwa na mwanamke? Duuuh ajabu sana nakwambia hakuna wasumbufu kama hao tena ckuhizi ndo hata haya hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…