Eti wanafanya shooting

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69


Hiyo ni katika shooting ya video "Nimpende Milele".
 
Ukiona mawanao eti anaomba kibali cha kwenda kufanya mazoezi bongo move ujue kesha liwa
 
wanafanya shooting au wana amshana ashiki zao..!? hapa bongo mimi nadhani tujikite zaidi katika kuamsha yale yaliyo lala kama viwanda na mashamba ya katani na reli..! kuliko kukaa kuiga mambo ya kizungu kumbe hata yale ya kibongo yenyewe hatuyawezi..! utafanyaje aaaaghhhghhh mimi wananiboa tu nadhani bora ninyamaze tuuu:flame:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…