For busness sio kwa ajil ya kuzalia kindagateKuna watu wanapenda kubeza ujenzi wa nyumba na kichaka chao utasikia mbona wahindi hawajengi. Sijui nani aliwadanganya kuwa Wahindi hawajengi wakati ndio wanaongoza kumiliki nyumba Masaki na Upanga.
Haya msikieni kijana wa Kihindi mtaalam wa real estate anazungumzia kuhusu kujenga nyumba binafsi. Kukaa kwako kuna feeling ambayo ni priceless.
Upanga na masaki 80% ni wahindi waarabu sio sanaMasaki ni waarabu bwashekhe. Wahindi tangu wafukuzwe Uganda na idd amini hawana hamu ya kujenga istiafilika
Wahindi ni rented residences mostly za serikali, wachache sana wamejenga masaki. Ila mijebgo ya masaki ambalo ni less rented houses za serikali ni waarabu mkuuUpanga na masaki 80% ni wahindi waarabu sio sana
This is not about me. Mimi sijajenga bado nimepanga.Mkuu hiyo feeling unayopata wewe na huyo kijana wa kihindi sio wote wana hisia hizo hizo kuhusu kujenga,ni Mtazamo wenu binafsi and mpo sahii na hisia Zenu.
Usiwe tu delusional kuamini what works for you must work for everyone then Muanze kuhubiri Kujenga kama injili.
Mods mmetoa video attachment. Bila hio video thread haieleweki.Kuna watu wanapenda kubeza ujenzi wa nyumba na kichaka chao utasikia mbona wahindi hawajengi. Sijui nani aliwadanganya kuwa Wahindi hawajengi wakati ndio wanaongoza kumiliki nyumba Masaki na Upanga.
Haya msikieni kijana wa Kihindi mtaalam wa real estate anazungumzia kuhusu kujenga nyumba binafsi. Kukaa kwako kuna feeling ambayo ni priceless.
Sasa feeling ya kua na nyumba yako uliipata wapi?au unafeel kupitia watu wengine??.huyo anaongelea experience yake..This is not about me. Mimi sijajenga bado nimepanga.
Nakupa taarifa tu Wahindi sasa hivi wanajenga nyumba za aina hio hio zilizotaifishwa. Washa move on.Wahindi walijenga kabla ya uhuru hadi 1967. Nyumba zao zilitaifishwa zikaandikwa Msajili na baadaye Shirika la Nyumba. Nyumba zao zilikuwa zimeandikwa majina na miaka ya kujengwa.