Eti, unawezaje kuacha kumpenda mtu asiyekupenda?

Sijui nifanyeje wapedwa ninampenda sana mpenzi wangu lakini mwenzangu haoneshi kunipenda kama ninavyompenda mimi najiona sipedwi

Naombeni msaada wenu nifanye nini nipunguze kumpenda mtu asiyenipenda nisaidieni tafadhalini
Sasa unataka ushauri gani tena, umeshajuwa jamaa hakupendi kuna cha kulazimisha hapo? Usilazimishe penzi pasipo na penzi....utajiua.
 
Dah pole sana, najua unapitia wkt mgumu sana. Mtangulize Mungu ktk wkt wako huo mgumu wa Sasa
 
Back
Top Bottom