Hiyo ni supercar range sio supercarNdani lina nini hadi liuzwe bei hiyo?
Kama halina la maana ninunulie range tu mkuu wangu
Hapo huruma hamnaDooh!! Hapo nikusubiria huruma tu ya mwenye hiyo chombo. Lol
Kwanini mkuuHapo huruma hamna
Hapo hajagonga gari huyo mkuu, kagonga LamborghiniK
Kwanini mkuu
Kwani si linanyooshwa tu Jamanii 🤔Hapo hajagonga gari huyo mkuu, kagonga Lamborghini
Kwanini range na sio passo?Ndani lina nini hadi liuzwe bei hiyo?
Kama halina la maana ninunulie range tu mkuu wangu
Basi ninunulie passo Boss wanguKwanini range na sio passo?
Duuuu! Mi uwezo wangu bike tuBasi ninunulie passo Boss wangu
Haaaaa Haaaaa 😂 hayaDuuuu! Mi uwezo wangu bike tu
FerrariInsurance company: U hit a what??View attachment 1623257
Umehesabu siku sawasawa?Haaaaa Haaaaa 😂, nna mawazo sana tangu Jana
Dar hi utakimbia jamaa kwa barabara zipi?Hapo kusubiria Polisi waje kupima ni ujinga, toka ndukiiiii!!! tembea kwa spidi ya mwisho ya gari yako kisha kaidumbukize mtoni usepe zako
Yule rafikiyako aliekua anamkunja munemewe ampe mjegejo, yupo...??Ninunulie hiyo ya million mia nne basi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dooh!! Hapo nikusubiria huruma tu ya mwenye hiyo chombo. Lol
😂 haaaa unanichekesha jamaniYule rafikiyako aliekua anamkunja munemewe ampe mjegejo, yupo...??
Haaaaa, hiyo siku Jana yake nilitapeliwaUmehesabu siku sawasawa?