Eti ukila fedha ya rambirambi unakufa?

mbona aliepiga za Mwangosi bado yupo. kama vp na wewe pita nazo tu
 
Watakufa kiroho japo watakuwa nasi kimwili. Tofauti yao na wasiokufa kiroho ni kwamba waliokufa kiroho watakuwa wanaishi kama mashetani.
 
Wahuni bhana!!
Kwa hiyo jamaa upo katika michakato ya kuzichapa hizo pesa!??ndo unajaribu kuangalia upepo!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…