Eti tutaanza kuwazaba makofi

TADPOLE

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
3,364
Reaction score
11,055
[emoji41][emoji41][emoji41]
Hivi tumewakosea nini jamani si mtuache
 
Hawa wamikoani wanayltaka tuishi vipi sasa mkuu

Mimi ni wa dar,ila tuwe wakweli nakereka sana,

Mwanaume unaandaje sherehe watu waje wakuimbie bana!!!,maana mimi kwa akili zangu ilibidi demu wangu aulize kwanza"mkorinto vip keki baby"nikamwambia kwakweli sitaki mambo ya kike,ikariri tu hiyo tarehe nitakwambia cha kufanya siku hiyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo ss badala ya kufanya party wewe siku yako ya kuzaliwa unaitumia kwa kufanya usafi wa mji mzima wewe na familia yako au sio!
 
mbona powa tuu.. bado yangu mimi ..kitoto yaani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…