papaa maglass
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 353
- 301
Hata wanaobomolewa kimara na mbezi wameshindwa kesi wakati kesi inaendelea.Inaniuma sana kwa baadhi ya wanasiasa kuendelea kutaka kukwamisha maendeleo ya Taifa na usalama wa raia,nchi,n.k.
Ila nasikitika tunapowataja hadharani kupitia jamii foram mnaziondoa hizo post,na post ikiwepostiwa inayoudhi nakuudhi serkali,jamii foram mmekuwa mkiziacha zikisomwa na haziondolewi....
Naona kifatacho hata nyie uongozi wa jamii foram nakuwa na mashaka na nyie......
Serkali iwakakague vizuri sababu inauma sana na sijaona fare hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app