Eti tumeshindwa kesi wakati kesi bado inaendelea

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
560
Reaction score
320
Inaniuma sana kwa baadhi ya wanasiasa kuendelea kutaka kukwamisha maendeleo ya Taifa na usalama wa raia,nchi,n.k.
Ila nasikitika tunapowataja hadharani kupitia jamii foram mnaziondoa hizo post,na post ikiwepostiwa inayoudhi nakuudhi serkali,jamii foram mmekuwa mkiziacha zikisomwa na haziondolewi....
Naona kifatacho hata nyie uongozi wa jamii foram nakuwa na mashaka na nyie......
Serkali iwakakague vizuri sababu inauma sana na sijaona fare hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, mbona lugha ya kiswahili ni nzuri tu na ni rahisi kueleweka, au umetupia ndovu kirikou?!
 
Hivi umeelewa ulichokiandika kwanza vijana wa lumumba mnashida sana
 
Jamii foram = Jamiiforums
Serkali = Serikali

Uwe unafanya uhakiki kabla ya kupost, makosa hayo yamejirudia zaidi ya mara moja.
 
Halafu huyu huko Mwakata anapotoka hakuna shule ya sekondari, hakuna zahanati, hakuna maji,n.k huoni aibu mkuu' yaan unatetea nchi kuingizwa hasara ya kulipa zaidi ya bil 80 kwa uzembe wa mtu mmoja? Huoni pesa hiyo ingeweza kupeleka shule na zahanati kijijin kwako mwakata.
 
Mwakata... kuna upepo mkali sana na vibaka... Dodoma iyo kama sijakosea labda kama kuna nyingine

Ila ndio ndg zake Lusinde Living
 
JF WANATOA NYUZI ZINAZO CHALLENGE BACK THE OPPOSITION. WAMEMERGE UZI WANGU UNOULIZA SWALI LA MSINGI NA LI THREAD GANI SIJUI.

FRESH!
 
Inaniuma sana kwa baadhi ya wanasiasa kuendelea kutaka kukwamisha maendeleo ya Taifa na usalama wa raia,nchi,n.k.
Ila nasikitika tunapowataja hadharani kupitia jamii foram mnaziondoa hizo post,na post ikiwepostiwa inayoudhi nakuudhi serkali,jamii foram mmekuwa mkiziacha zikisomwa na haziondolewi....
Naona kifatacho hata nyie uongozi wa jamii foram nakuwa na mashaka na nyie......
Serkali iwakakague vizuri sababu inauma sana na sijaona fare hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa li picha la hilo li avatar lako, linatia kinyaa na hasira saaaana...!!
 
Inaniuma sana kwa baadhi ya wanasiasa kuendelea kutaka kukwamisha maendeleo ya Taifa na usalama wa raia,nchi,n.k.
Ila nasikitika tunapowataja hadharani kupitia jamii foram mnaziondoa hizo post,na post ikiwepostiwa inayoudhi nakuudhi serkali,jamii foram mmekuwa mkiziacha zikisomwa na haziondolewi....
Naona kifatacho hata nyie uongozi wa jamii foram nakuwa na mashaka na nyie......
Serkali iwakakague vizuri sababu inauma sana na sijaona fare hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ndg. Ni rahisi kujua forum hii inamilikiwa na mtu wa mrengo upi kisiasa. Hvo wala usiumize akili yako kuhusu hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaniuma sana kwa baadhi ya wanasiasa kuendelea kutaka kukwamisha maendeleo ya Taifa na usalama wa raia,nchi,n.k.
Ila nasikitika tunapowataja hadharani kupitia jamii foram mnaziondoa hizo post,na post ikiwepostiwa inayoudhi nakuudhi serkali,jamii foram mmekuwa mkiziacha zikisomwa na haziondolewi....
Naona kifatacho hata nyie uongozi wa jamii foram nakuwa na mashaka na nyie......
Serkali iwakakague vizuri sababu inauma sana na sijaona fare hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu punguza mawazo mgando! Zipo ethics za kutoa mawazo yako hapa jukwaani! Kama unatoa Post zisizoendana na maadili zikifutwa usilalamike. Lkn wakati mwingine JF mods hufuta post kwa sababu zipo zingine zenye maudhui sawa hivyo haina haja ya kuzirudia! Tusiwalaumu sana!
Turudi kwenye hoja yako!
Ni suala la kujiuliza tu, hivi inawezekana vipi kesi iwe inaendelea halafu upande mmoja uamue kukamata mali za mwingine tena kwa baraka za mahakama? Ifike wakati tusiwe tunapokea kila kinachosemwa na Viongozi! Wanakwambia kesi inaendelea ilihali wamekubali kulipa pesa za kutanguliza, ni mjinga pekee atakuelewa!
Kitu pekee ambacho Serikali ilipaswa iwaambie Wananchi ni kutuomba samahani kwa kushindwa kesi hii na angalau kusema itaangalia namna nzuri ya kulipa deni bila kuumiza Wananchi!
 
Inaniuma sana kwa baadhi ya wanasiasa kuendelea kutaka kukwamisha maendeleo ya Taifa na usalama wa raia,nchi,n.k.
Ila nasikitika tunapowataja hadharani kupitia jamii foram mnaziondoa hizo post,na post ikiwepostiwa inayoudhi nakuudhi serkali,jamii foram mmekuwa mkiziacha zikisomwa na haziondolewi....
Naona kifatacho hata nyie uongozi wa jamii foram nakuwa na mashaka na nyie......
Serkali iwakakague vizuri sababu inauma sana na sijaona fare hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi kuandika vizuri ili ueleweke ulichokusudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom