Eti siku hizi ananikumbuka

hahahahah,,,,,,,,,, mwisho utamkabidhi atm!!! jiamini kaka kwani huyo ndo mwanamke pekee uliyemuona?? eti mtu mmeachana afu unamtumia hela.......kuwa na msimamo usije ukawa unamuhongea bwana ake
 

ww ni dhaifu.. huna maamuz ya KIUME kama vp mrudie tu maana tayar inaonesha huna alternative kwan ctl unampenda ndo maana unadedicate mda mwing kulonga naee
 
wewe una matatizo, aidha una kutu za muda mrefu ndio maana unafanya hivyo unavyofanya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…