Eti siasa ni ujinga?

Eti siasa ni ujinga?

Sista

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
3,208
Reaction score
1,038
Nimeipata sehemu na imenipa mawazo. Kimsingi binafsi naunga mkono:


Siasa ina uwiano mkubwa sana na
ujinga. Ili uwe mwanasiasa mzuri
inabidi uwe mchangamfu hata pale
unapoumizwa. Itakulazimu
utabasamu hata ukitukaniwa mama
yako. Uwe msafi vipi, ukiwa
mwanasiasa active utachafuliwa tu.
Siasa zinavuruga dunia,
zinaiyumbisha Tanzania, wengi siyo
wakweli, wavivu, wamekosa
ubunifu wa kushawishi wananchi,
matokeo yake wamekuwa vinara
wa siasa za majitaka. Nachukia
sana siasa za kuchafuana.

Source: FB - Luqman Maloto
 
Mwandishi:kwann ccm kuna mifarakano miongoni mwa wanachama?
Wasira:kwan chadema hakuna mifarakano?
 
msikilize na huyu amechoka kama ulivyochoka wewe.

Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka Shaaban Robert aliandika "Siasa Safi sawa na Mchezo Mchafu, Siasa Chafu Huwaje"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom