Eti shughuli hawaiwezi


Sikusoma user name yako' kumbe niwewe MAFIKIZORO? Nakushauri achana na story za huyo mama atakupoteza' endelea na mipango yako ya shule' ila tafadhali usithubutu kureseat! Over!
 
Hahahahahah tena akomeeee weeeeee maana kajishusha thamani
 
Sikusoma user name yako' kumbe niwewe MAFIKIZORO? Nakushauri achana na story za huyo mama teza' endelea na mipango yako ya shule' ila tafadhali usithubutu kureseat! Over!
Huyooo mama mie nilishamuweka kapuni kitamboooooooooooooa, thx yani hapa ni shule tu mpaka kieleweke but no kurisiti ni chuo tu hapa
 
Definitely mwanaume atayereact negatively kwenye huu uzi ataacha maswali mengi
 
 
hahahahhaha naona umekasilika kweli hahahah vipi au nawewe ndo hao hao wasio iweza kazi maana umevimba kaa unga ulotiwa amila hahahah mxuuuuuu!!!
 
Huwa wanasema ukubwa wa bua sio wingi wa makamasi waweza mjudge hivyo then ukaja kukimbia mwenyewe uku umeshika chupi mononi hahahahahah

noooo kuna wanaume utafikiria nini sijui kutembea kwenyewe tabu ndio wataweza kitandani hapana hapo bado ujanishawishi
 
Nimesisimka na comment yako...!
 
akitembea utafikili ajifunza umiss hahahahah nibalaaa tupu hahahahahah hao ndo wakaji watu shombo teh teh
noooo kuna wanaume utafikiria nini sijui kutembea kwenyewe tabu ndio wataweza kitandani hapana hapo bado ujanishawishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…