Eti Rwanda inafaidi maliasili ya Kongo!

Eti Rwanda inafaidi maliasili ya Kongo!

According to you KAGAME haters, you say that HIMA empire is composed of Rwanda and Uganda. So in that regard, Uganda is next to Kenya just as Rwanda is next to Tanzania. Mbona sijawahi kusikia Wakenya wakilalamika kuhusu Hima Empire? Tanzanians are becoming paranoid..juzi juzi kagame,museveni na kenyatta wamekutana kujadiliana jinsi ya kuboresha the northern corridor watanzania wamekuja juu eti kwa nini kikwete hakualikwa...kwani tanzania iko kwenye northern corridor? NO. again inaonyesha jinsi watanzania wasivyojiamini...be confident guys...confidence is everything...
Your comment is like a "wet dream".
 
I have been reading JF from afar lakini sasa nimeona kuwa if you want change be proactive no a spectator. For the past month or so nimeona comments nyingi kuhusu Kagame and the majority are hatred towards him. kuna msemo usemao " if majority of people hate/envy you then you must be doing something right". lakini vile vile nikisoma contents ya comments nyingi it shows that most of you are getting information from google....that is not the way to prove your point. Unajua watanzania wengi hawajui historia ya Rwanda. First of all if we did a poll here of all of you Kagame haters, 80% of you were less than 20yrs old in 1994. Thats right. You have no knowledge of the background of rwanda sana sana ni information you pick here and there from the net and then you qualify yourselves as experts on Rwandan history. Another thing that I have noticed is RWANDAFOBIA. This Rwandafobia is growing and i think if it is not addressed it will breed insecurity and this can be seen in most of the comments. There is talk of HIMA EMPIRE (lol) Hima Empire is a lot of bullshit and it just shows how insecure Tanzanians are because I have never read anywhere Kenyans mentioning Hima Empire. Its because they are confident in themselves and have no worries of this so called imaginary Hima Empire. I have never heard Congolese mentioning this imaginary Hima Empire. So lets ask ourselves, why is this only mentioned in Tanzania? U can fill in the blanks. I hear this that Rwandese wanajidai, wana kiburi, wanajiona wazuri,....these are very light comments...more of a jilted lover that a great thinker...kwa hiyo wote hawa wanaotoa comments kama hizi most likely met a rwandese girl akamtongoza mshichana akamkataa basi akachukulia kuwa hiyo ni sababu tosha ya kuwachukia wanyarwanda wote. kuna true story moja ya msichana mmoja wa kinyarwanda mzaliwa wa tanzania alitongozwa na afisa uhamiaji na huyo msichana alikuwa bado mwanafunzi alipomkatalia jamaa kwa sababu hakutaka kuolewa basi jamaa akaanza kunyanyasa familia yake mpaka wakarudishwa rwanda japokuwa wazazi wake walikuwa raia wa tanzania(pathetic mentality).

If I were to ask every on here why they hate rwandese you will be surprised of their reasons!!! Lakini what I want to assure you tanzanians....KAGAME IS GOING NOWHERE because he is an elected president of Rwanda just like Kikwete although I don't see what Kikwete has done for you except for being the only president in the wold who holds two portifolios 1.President 2. Minister of Foreign Affairs. so go figure.

Haya mambo ya sijui Kagame anapora mali za Congo is another bullshit. Hivi Congo hawana askari wao mpakani? Hivi tujiulize Wanyarwanda wanaweza kuingia tanzania wakafika kahama wakaanza kuchimba madini huku tanzania ikiwa inaangalia? It just doesn't make sense. For you information watu wanaoiibia Congo madini mengi ni MONUSCO.

So my advice to Tanzania. RELAX. BE CONFIDENT. DON'T FEAR RWANDESE BECAUSE THEY HAVE NO INTEREST IN YOUR COUNTRY. WAO WANACHANJA MBUGA KIMAENDELEO HUKU NYIE MKIENDELEA KUPIGA GUMZO TU. NA KUJIVUNIA UJIO WA OBAMA. ITS NOT LIKE OBAMA AKIJA MATATIZO YENU YOTE YATAISHA. KESHOKUTWA AKIONDOKA TU. MTABAKI MNALIA NA GHARAMA MLIZOTUMIA KUMLINDA NA KUMKARIBISHA NA ATAKAEUMIA SANA NI MTANZANIA MASKINI ATAKAE KOSA DAWA KWASABABU HELA YA WIZARA YA AFYA IMEDOKOLEWA ILI KUTENGENEZA MABANGO NA T-SHIRT ZA KUMKARIBISHA OBAMA. VERY SAD.
Kagame atulize akili tunapoendelea kuongeza majeshi pale Kongo.
 

Could you stop contradicting yourself?
At last umekiri kuwa na wewe ni jambazi sio?

Huoni kuwa ninyi ndio mnaotuharibia nchi yetu?
Uadilifu unaoukiri uko wapi?
Chezea JF wewe utakiri vyote na ya Kongo.
Ni hasira tu za kichapo cha JWTZ kinachonukia Kongo.
Mnanyang'anywa tonge mdomoni mapovu tele.

unajua kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti....hapo kwenye red anaekuibia ni nani...ni mfanyakazi wako wa bandari asiekuwa na maslahi na taifa lako..kwa hiyo ulikuwa unataka nikuonee huruma wakati wewe mwenyewe hujihurumii...come on be serious...rushwa ndio itawamaliza....mmeshauza nchi yenu yote...unajua katika utajiri uliopo kwenu tanzania...waafrika weusi mnamiliki less than 10%!!! then you say its you country!! hahaha unanichekesha...subiri obama aje leo nae achukue kilichobakia....you guys are finished...
 
unajua kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti....hapo kwenye red anaekuibia ni nani...ni mfanyakazi wako wa bandari asiekuwa na maslahi na taifa lako..kwa hiyo ulikuwa unataka nikuonee huruma wakati wewe mwenyewe hujihurumii...come on be serious...rushwa ndio itawamaliza....mmeshauza nchi yenu yote...unajua katika utajiri uliopo kwenu tanzania...waafrika weusi mnamiliki less than 10%!!! then you say its you country!! hahaha unanichekesha...subiri obama aje leo nae achukue kilichobakia....you guys are finished...

Ameshafukuzwa na Mwakyembe na wewe ndiye uliyemponza. Njoo uibe tena.

Obama anakuja ....watu wake wanaendelea na mazungumzo na Taliban wanataka kumaliza tofauti zao....Kamwambie na Kagame aongee na FDLR otherwise kikinuka tena juwa kuwa umeshanitibua ukija tena Kama mkimbizi sikupokei.

 
hapo kwenye red....speak for yourself...just as you can get people who hate rwandese i can get ten times more people who are for us..who understand and work with us....kwa hiyo watu kama nyie you are just a handful hatred-filled bigots...hamuwezi kutunyima usingizi...endelea tu ila ujue kuwa katika watu millioni 45 wenu...you are probably less than 100...go figure....eti rwanda ni kama mkoa mmoja wa tanzania. nonsense haya chukua mkoa mmoja mfanye kama tunavyofanya hapa...not in you lifetime...rushwa nyingi...mnaangalia matumbo yenu tu....have you ever heard of the French Revolution....wait and see...you will soon be experiencing this with the way i watch your leaders burying their heads in the sandView attachment 100267 God forbid that what happened here doesn't happen there...otherwise i cannot imagine you being a mkimbizi.



Ukichukua barabara ya Morogoro road ukijumlisha na iendayo arusha,,,,ukiziweka Rwanda watapata lami hadi vyumbani mwao.
 
Back
Top Bottom