Mbona kura wanaombwa wote? Yaleyale ya mhindi na Juma. Wakati naomba kaji wewe kuja kono nyuma, sasa napata kaji.....
Wapo watu wa hovyo sana, ndio maana yule askofu jana Roho wa Mungu alimuongoza kumwambia Rais aombewe kupata washauri watakao muambia ukweli.
Yako maneno hata hapa jF tumewahi ya soma kuwa kuna awamu walevi wakihesabiwa vizibo vya chupa kujua idadi za bia walizo kunywa. Lakini lazima tuelewe kuwa walikuwa wakisikiliza pia maongezi ya walevi hao na kuangalia kama kuna cha kufanyia kazi kama serikali.
Hivi kwa nini Rais anasema yeye ni Rais wa wote? Ila kwenye ushauri awe Rais wa wateule wachache? Na akichukua huu ushauri wako kwamba asikilize wachache, he is going to fail big time.
Na washawasha!