Eti nimnyoe

we jamaa umezidisha chai zako hapa mjengoni....tuliza bongo yako uje na nyuzi za maana hapa...p__mb_v_
 
Wewe utakuwa na matatizo ya kisaikolojia kunyoa tuuu? mkeo akiwa na mimba watakunyolea wenzio maana atakuwa hawezi tumbo litamzuia
 
kunyoa nywele za huko tu unaona kinyaa.... ukiambiwa umtawaze akin** si hadi mkoa utahama wewe.... anyway usimuonee kinyaa mpenzi wako... hudumisha penzi....
 

Mnyoe... kuna raha yake
 
km ana umbo la miss easy kumyoa ila km asha boko pole
 
kama kunyoa umeshindwa basi msuke twende kilioni...(ila msuko wa huko uvinza nahisi utaitwa twende chumvini)
 
Hata Mkeo Watu Watakuja Kukusaidia Kumyoa
 
Mnyoe tu bhanaaa acha woga Mkuu, ukimaliza unampa kiwembe naye akunyoe kwa raha zenu. Angalia tu asikate dushelele akaondoka nalo.

 
Last edited by a moderator:
Bado sijawowah natumia ujana kwanza,ila kama nimeoa akiniletea hizo ,nitamwambia atumie lighter ile ya kuwashia sigara ! Na nimepata dawa mwache aje ,namuekea lighter tu ,nyika nzima itateketea .

We Mwiba ni sheeder! Hivi utakuwa.na namba za zimamoto?😀
 
Last edited by a moderator:
Msikilize dk Ndodi saa nne usiku huwa anaelezea concern km yk
 
Mtamsaidia sana kwa maneno ya kila aina,,hanyolewi mtu hapa !

Katika kauchunguzi kadogo tu,nyie mnaosema mnaweza kuwanyoa hao wapenzi wenu ,eti mapenzi huwa ndio yananoga ,bila ya wasiwasi wowote ule mtakuwa mmelishwa limbwata. Ndio nyie nyie mnaoambiwa mlinde nyumba bibie ana kasafari kadogo usiku,ndio nyienyie mnaopigishwa deki ,kama haitoshi mkitoka ni lazima muombe luhusa ,bibie na hiari yake !
 
jamaniiiiii acha ushamba wewe kwani kumnyoa mpenzi wako ni ajabu???? ngoja nikuulize swali la kizushi. ina maana wife akiwa na mimba kubwa let us say ya miezi na kuendelea hutamnyoa? jamaniii kweli ndio maana siku hizi wameanzisha "bag party"
 
kuna watu wa ajabu yaan hlo pia anashangaa au unazani mapenz n kuchomeka na kuchomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…