Eti nikuvumilie

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,346
Reaction score
6,841
Ni jina la wimbo wa bongo flava ulioimbwa na Baraka na Ruby ukiusikiliza kwa utuvu utaona ni namna gani mapenzi bila pesa yanakuwa magumu.Kijana analilia penzi kwa mpenzi wake ambaye anatoka na jamaa kwenye uwezo na ambaye anaihudumia familia ya binti kuna sehemu inasema' mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua usikilize uone kijana anavyolalamika kwa masharti magumu anayopewa.

Jumapili njema.
 
Mbona ushachuja huo

Ni kweli Mkuu..hoja yangu Mimi sio hiyo..mimi nimeutazama ujumbe na uhalisia WA maisha na wala sio muda WA kupigwa kwenye vyombo vya habari..ahsante.
 
habari ya mapenzii niulize mimiii...we uko moyonii kelele za ninii..ninakuheshimu niamini vumilia kidogoo nimchunee!!
 
habari ya mapenzii niulize mimiii...we uko moyonii kelele za ninii..ninakuheshimu niamini vumilia kidogoo nimchunee!!
Dogo hataki kuchangia penzi..haahaaa pagumu hapo
 
.... leo nakuweka wazi,
nambie nimuache aende!
na magari nirudishe,
wazazi uwambie,
kwenye nyumba watoke,
usimame kama mume ...

jamaa alishindwa kujibu hoja na kuishia kulalamika tu, lakini ukweli alipewa na decision akashindwa kufanya

eti nikuvumile!!
kushea na bwana yule
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ngumu kumeza.
 
Mapenzi bila pesa mhhhh nay wa mitego:mapenzi bila pesa ni ushoga
 
Wapo mabinti japo wachache sana ambao still wanaweza kumpenda mtu KWELI bila kujali sana pesa au hali yake kiuchumi. Wakishakuwa pamoja basi pesa watazitafuta tu.
 
Wapo mabinti japo wachache sana ambao still wanaweza kumpenda mtu KWELI bila kujali sana pesa au hali yake kiuchumi. Wakishakuwa pamoja basi pesa watazitafuta tu.

Wapo ila ni adimu kama wanawake weusi
 
nipo radhi kununua makahaba nikijua ni wawote kuliko kushare penzi la mtu ninayemuamini
 
"mapenzi siyo pesa ila ikikosekana yanapungua"
 
habari ya mapenzii niulize mimiii...we uko moyonii kelele za ninii..ninakuheshimu niamini vumilia kidogoo nimchunee!!
...hata moyo wangu umefungwa kwako...
 
Duh....Acha movie iendelee tu maana hamna namna.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…