Latifaa
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 501
- 258
Heshima zenu wana jamvi,
Kuna ndugu yangu katoka mamtoni huko Marekani tulikua tunawasiliana vizuri sana kwa email lakini ghafla mawasiliano yakawayameisha kumbe kasharudi bongo miezi minne iliopita yuko hapa dar, alikaa nje kwa miaka 6 hivi yaani na mimi nilikua na hamu yakumuona kishenzi yaani mara sikuhiyo nampigia simu ndugu yangu flani wambali kidogo yuko mkoa nastaajabu ananiambia Leyla kaja umeshaonana nae? khaa nikamwambia siyupo Amerika kwani karudi? akajibu kasharudi tena anasema umemchunia nikastaajabu nitamchuniaje mtu yuko mamtoni mimi niko bongo? basi nikamwambia embu nipe namba yake ya hapa akanipa nikampandia hewani kwani kapokea nimempigia zaidi ya mara kumi hapokei simu nikaamua kutemana nae mara sikuyasiku miezi kama mitatu mbele naona namba yake ananipigia sikujishughulisha kupokea nikaachana nae hadi leoo hiii niko zangu kimya kuna tatizo wapendwa? au mnaniambiaje?