Umeshakufa kwa mujibu wa vipimo vya daktari,
Ukizinduka mochwali we ni mzimu kwa nini wakuache uje kuisumbua Dunia.
Huu ni utani e?
Akiwa bado wa moto analiwaHahah dunia inamengi sana iache tu. Kama ni mrembo nasikia jamaa wanakula nyapu wakishatosheka wanakurudisha ulikotoka.
vipi unaogopa kirungu cha mlinzi baada ya kufufuka mochwali
JokesNimeshangaa unaamini mtu anaezinduka mochwari ni mzimu
Kam kawaid yakovipi unaogopa kirungu cha mlinzi baada ya kufufuka mochwali
NimefanyajeKam kawaid yako
Mshana Jr kuja huku