Eti ni kweli kwamba mtu akizinduka Mochwari huwa anauliwa ili kulinda kibarua?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
5,597
Points
2,000

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
5,597 2,000
Naombeni Tujuzane wadau!

Pamoja na vipimo vya madakitali kuwepo: Nasikia kuna wakati huwa vinadanganya!

Madakitali nao kwa namna moja au nyingine saingine hupitiwa na kukosea kwa kuidhinisha Mtu kufariki.

Eti ni kweli Inapotokea bahati nzuri mtu akazinduka mochwari nasikia huwa wanamalizia ili kulinda vibarua vya walioidhisha!

Nasikia mgonjwa anaezinduka humaliziwa kwa sindano au Rungu la kichwa chap!!

Je; ni kweli?
 

911sep11

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Messages
2,237
Points
2,000

911sep11

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2018
2,237 2,000
:D:D:D umemwita mtu sahihi kabisa nakumbuka ile stori yake ya jamaa aliekua anatembea na maiti za watoto kwenye mifuko ya rambo kwenda kuizika kazi ilipo noga akawa anaweka mizigo hadi chini ya uvungu kama sijakosea. Naomba link ya story hiyo Mshana Jr
 

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
4,226
Points
2,000

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
4,226 2,000
Nilisimuliwa story za mortuary na jamaa mmoja aliyekuwa Mortuary attendant Muheza hospital ilibidi nivunje urafiki naye.
Tulikutana jeshini miaka fulani.
Alinisimulia jinsi walivyokuwa wanatoboa kichwa kwa misumari ili kuipa mwanya sindano ya kuhifadhi mwili. Miili mingine ilikuwa inafika imekauka viungo havinyooki basi anaipiga rungu mpaka viungo vinakubali sheria. Walikuwa wakiuza maji ya kuoshea maiti. Sometimes wachawi walikuwa wanawapooza pesa ndefu ili wanyofoe kinyama cha marehemu.
 

Mshumaa wa Mbao

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Messages
489
Points
500

Mshumaa wa Mbao

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2019
489 500
namuonea huruma mshana jr kwani amekuwa kimbilio la kila kesi humu..

baba mashana pumzika kwanza ni zamu ya wengine sasa kuitwa badala yako

yawezekana jamaa hata akifa (samahani,) afu ikatokea mgogoro humu na ataitwa
N.B yawezekana akaja maana mshana kwa ulozi aisee sio pouwa inasemekana jf haidukuliwi na vipepeo kisa uwepo wa huyu Mpare wa bandarini
 

Forum statistics

Threads 1,381,149
Members 525,998
Posts 33,790,519
Top