Eti ni kweli kuna undugu?

Eti ni kweli kuna undugu?

BWANA MISOSI

Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
39
Reaction score
25
Eti kuna mjomba wangu amemuoa shangazi wake bwana wangu. Je Mimi siwezi tena kuelewa na bwana wangu kwa sababu ndio itakuwa Kuna undugu.? Au tukiamua tunaoana tu?
 
Mkiamua mnaoana tu, nasema uongo ndugu yangu Bwana Misosi?
 
Shangazi mdogo wake na baba mzaa bibi mzaa mjomba mnaoana
 
Nyie endeleeni kukutanisha vikojoleo tu
 
Back
Top Bottom