Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Leo nlkua na shost yangu fulan hiv asa katika mazungumzo yetu akaanza nipa stori za chumbani,akadai ye kuna mpenz wake mmoja ambaye hata amfanyie nini hawezi kumwacha ikabidi nimuulize sababu kwanini asimuache akanijibu akisex nae huwa anamwaga hata mara nne..hapo nikastaajabu sabu mi najua mwanaume tu ndo ambaye huwa anamwaga asa na wanawke pia..ila shost ckupenda mdads sana mana ni waruwaru nikaamua nileteee hapa,mwanamke anamwaga vp?
Anamwaga = anakojoa
Hujaelewa nini hapo??
kuna utofauti wa kumfikisha kileleni mwanamke na kumkojoza
karibu 80/% ya wanawake hawajawai kukojoa ktk tendo ila wanafika tu kileleni
usiombe ukapata fundi akakujoza wakati mumeo na ktk maisha yako ujawai kukojozwa utaakimbia ndoaaa
ha ha ha ha DUNIA INA MAMBOOO !!
nina dawa toka mzimuni kolelo morogoro itakufanya mwanamke ukojoe mara tano wakati boy wako bdo ajapiziiii hatari hyooooo ni dawa ya kuongeza nguvu za kikeee !!!!!
Mwanamke hana shahawa. Hukojoa tuu. Anapandishwa mpaka anavuka kileleni halaf anakojoa hata aweza toa nusu lita mpaka lita ukimpeleka vizuri. Wengine huzirai kabisa for 15 min. Upo hapo?? Kuna aliyesema hapa atii anadawa ya kuongeza nguvu za kike. Huyo ni tapeli wa mapenzi. Hakunaga hiyo kitu
Kama hujawahi kojozwa una bahati mbaya sana. Siku ukikutana na mautundu hayo, nyumbani hurudi weye
Naomba hiyo dawa mzimu wa kolelo
Wewe ushawahi kufika kileleni?
???? Jinsia yako plz
hiyo kileleni na hiyo kukojoa ina tofauti gani! ningependa kufahamu ilo japo mm ni " me "