Zuberi Magoha
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 208
- 69
Msendo ndo nani na wewe?
Wana JF
Penye wengi pana mengi .Kusanyiko hiili loa watu leo kuna mtu amesema anashangazwa na mtandao wa Zitto.Yeye na Msendo walikuwa maadui wakubwa .Msendo akiwa CCM na Zitto Chadema leo hii wamekutana na kuanza kuiangamiza Chadema .Msendo ni diwani kwa ticket ya Chadema alishinda tu na Chadema hawakumjua ni pandikizi la CCM miaka yote na ndiyo maana hata wenye Kata hafiki kuona wapiga kura wake wana shida zipi.Anafanya hivi ili mwisho CCM wachukue kata ile .Sasa kwa kwa Msendo ,na Zitto wote wana ma agent hapa waulizeni nyie watumishi wao mtupe majibu .Je imekuwaje wanaweka nguvu pamoja na kupambana na
Chadema ? Kweli Zitto siku nyingi kaanza kuwa mccm .
Walozowea kuambiwa hata akiona kwa macho hamini...
Wana JF
Penye wengi pana mengi .Kusanyiko hiili loa watu leo kuna mtu amesema anashangazwa na mtandao wa Zitto.Yeye na Msendo walikuwa maadui wakubwa .Msendo akiwa CCM na Zitto Chadema leo hii wamekutana na kuanza kuiangamiza Chadema .Msendo ni diwani kwa ticket ya Chadema alishinda tu na Chadema hawakumjua ni pandikizi la CCM miaka yote na ndiyo maana hata wenye Kata hafiki kuona wapiga kura wake wana shida zipi.Anafanya hivi ili mwisho CCM wachukue kata ile .Sasa kwa kwa Msendo ,na Zitto wote wana ma agent hapa waulizeni nyie watumishi wao mtupe majibu .Je imekuwaje wanaweka nguvu pamoja na kupambana na Chadema ? Kweli Zitto siku nyingi kaanza kuwa mccm .
Anaye jua zaidi ya haya niliyo ambiwa naomba atuwekee zaidi tuujue ukweli
Zitto kabwe , tangu atusaliti UD sina hamu nae...
Mbona sisi tulivyoingia UD tulukuta story kuwa,Zitto na kina Mkili ndo walifanya bumu liongenzwe?tena nasikia alifukuzwa hadi chuo ikabidi arudi mwaka uliofuata yeye na akina Julius Rugemalila.Zitto kabwe , tangu atusaliti UD sina hamu nae...