Eti Msendo umewahi mpindua Zitto mkiwa UDSM?

Zuberi Magoha

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
208
0
Wana JF
Penye wengi pana mengi .Kusanyiko hiili loa watu leo kuna mtu amesema anashangazwa na mtandao wa Zitto.Yeye na Msendo walikuwa maadui wakubwa .Msendo akiwa CCM na Zitto Chadema leo hii wamekutana na kuanza kuiangamiza Chadema .Msendo ni diwani kwa ticket ya Chadema alishinda tu na Chadema hawakumjua ni pandikizi la CCM miaka yote na ndiyo maana hata wenye Kata hafiki kuona wapiga kura wake wana shida zipi.Anafanya hivi ili mwisho CCM wachukue kata ile .Sasa kwa kwa Msendo ,na Zitto wote wana ma agent hapa waulizeni nyie watumishi wao mtupe majibu .Je imekuwaje wanaweka nguvu pamoja na kupambana na Chadema ? Kweli Zitto siku nyingi kaanza kuwa mccm .

Anaye jua zaidi ya haya niliyo ambiwa naomba atuwekee zaidi tuujue ukweli
 
Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
15,720
2,000
Mbona banaga alikuwa ccm na leo yupo cdm. Huwezi kuwa rafiki na yule aliyekua adui yako? Hata ben sa8 kuna siku anaweza kuwa rafiki wa zitto huko mbeleni
 
Mtamile

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
2,830
1,750
hivi wewe hujui kama Dr Slaa naye alikuwa CCM kwa hiyo naye ni pandikizi tena kulikuwa na tetesi kuwa hadi kadi anayo!!!
 
masanjasb

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
2,364
1,195
Msendo? anaitwa albert msando.....fanya tafiti kwanza kabla hujapost majina ya watu mkuu
 
promiseme

JF-Expert Member
Mar 15, 2010
2,709
1,195
Wana JF
Penye wengi pana mengi .Kusanyiko hiili loa watu leo kuna mtu amesema anashangazwa na mtandao wa Zitto.Yeye na Msendo walikuwa maadui wakubwa .Msendo akiwa CCM na Zitto Chadema leo hii wamekutana na kuanza kuiangamiza Chadema .Msendo ni diwani kwa ticket ya Chadema alishinda tu na Chadema hawakumjua ni pandikizi la CCM miaka yote na ndiyo maana hata wenye Kata hafiki kuona wapiga kura wake wana shida zipi.Anafanya hivi ili mwisho CCM wachukue kata ile .Sasa kwa kwa Msendo ,na Zitto wote wana ma agent hapa waulizeni nyie watumishi wao mtupe majibu .Je imekuwaje wanaweka nguvu pamoja na kupambana na
Chadema ? Kweli Zitto siku nyingi kaanza kuwa mccm .

Walozowea kuambiwa hata akiona kwa macho hamini...
 
kitali

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,355
2,000
Wana JF
Penye wengi pana mengi .Kusanyiko hiili loa watu leo kuna mtu amesema anashangazwa na mtandao wa Zitto.Yeye na Msendo walikuwa maadui wakubwa .Msendo akiwa CCM na Zitto Chadema leo hii wamekutana na kuanza kuiangamiza Chadema .Msendo ni diwani kwa ticket ya Chadema alishinda tu na Chadema hawakumjua ni pandikizi la CCM miaka yote na ndiyo maana hata wenye Kata hafiki kuona wapiga kura wake wana shida zipi.Anafanya hivi ili mwisho CCM wachukue kata ile .Sasa kwa kwa Msendo ,na Zitto wote wana ma agent hapa waulizeni nyie watumishi wao mtupe majibu .Je imekuwaje wanaweka nguvu pamoja na kupambana na Chadema ? Kweli Zitto siku nyingi kaanza kuwa mccm .

Anaye jua zaidi ya haya niliyo ambiwa naomba atuwekee zaidi tuujue ukweli

namjua sana msando na najua ni kwanin Zito yuko karibu sana na msando. ila ipo cku nitasema
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
19,213
2,000
Zitto kabwe , tangu atusaliti UD sina hamu nae...
Mbona sisi tulivyoingia UD tulukuta story kuwa,Zitto na kina Mkili ndo walifanya bumu liongenzwe?tena nasikia alifukuzwa hadi chuo ikabidi arudi mwaka uliofuata yeye na akina Julius Rugemalila.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom