Eti mimi nachekesha

Eti mimi nachekesha

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye ndoa ambayo ugomvi ni mara chache sana kutokea, kila tunapokuwa wote katika maongezi mara nyingi mke wangu huishia kuangua kicheko sana, anasema katikati ya maongezi kuna maneno huwa nachomeka ambayo yanamvunja mbavu sana.

Mfano ni jana ambapo kuna kitu aliongea nilipomjibu alianza kucheka mfululizo huku kila akitaka kurudia kile nilichosema, anaingia kwenye bonge la kicheko tena mpaka akajikojolea,

Nikaona nibadilishe mada lakini mwenzangu nikaona ndo kwanza anaanza kutambaa kama mtoto sakafuni, nikakimbilia chumbani akanifata, kufika akaendelea na vicheko tena huku anaachia mashuzi (anajamba), nikashtuka kuwa isijekuwa ni ishu ya kiafya, either zimemruka ndo nikaamua kuanza kumchapa makofi, hatimaye akatulia, lakini alinishtua, ila baadae akadai ni kucheka tu, haikuwa ugonjwa.

 
Ahahaha huyo shemeji yetu atakuwa na matatizo binadamu kwa kawaida hawezi kucheka mfululizo kwa dk 2 bila kikomo. Mchunguze vizuri huenda akawa na upungufu wa afya ya akili.
Labda tuma mifano ya vichekesho au jingle zinazomfanya mkeo awehuke kwa vicheko
 
Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye ndoa ambayo ugomvi ni mara chache sana kutokea, kila tunapokuwa wote katika maongezi mara nyingi mke wangu huishia kuangua kicheko sana, anasema katikati ya maongezi kuna maneno huwa nachomeka ambayo yanamvunja mbavu sana.
Mfano ni jana ambapo kuna kitu aliongea...nilipomjibu alianza kucheka mfululizo huku kila akitaka kurudia kile nilichosema, anaingia kwenye bonge la kicheko tena...mpaka akajikojolea! Nikaona nibadilishe mada lakini mwenzangu nikaona ndo kwanza anaanza kutambaa kama mtoto sakafuni, nikakimbilia chumbani akanifata, kufika akaendelea na vicheko tena huku anaachia mashuzi (anajamba), nikashtuka kuwa isijekuwa ni ishu ya kiafya, either zimemruka ndo nikaamua kuanza kumchapa makofi, hatimaye akatulia, lakini alinishtua, ila baadae akadai ni kucheka tu, haikuwa ugonjwa. dah mpenzi wangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom