Tangu Tigo Pesa msimamishe kusajili mawakala wapya wa Tigo Pesa, kwa sasa line za uwakala zinapatikana kwa mawakala wakuu, ambao wanaziuza hadi sh 500,000, kutokana na uhitaji kuwa mkubwa. kwa kawaida, line hiyo inabidi itolowe bure, lakini sivyo ilivyo kwa sasa.
TigoPesa nawatahadharisa sana. Mitaani watu wanahangaika na huduma zenu. msipokuwa makini, mtapoteza soko kwa sababu zisizo na mashiko kwangu. msipoondoa ukiritimba uliopo sasa, wateja wenu watahamia huduma nyingine kama M-Pesa na Airtel Money.
Mimi natafuta line ya uwakala kwa miezi 2 sasa. Naambiwa nitoe rushwa ya 500,000 napata papo hapo line, ila ninmekataa upuuzi wa rushwa. Badala yake nimeamua kuwashauri wateja wangu watumie huduma za mitandao mingine! Naamini wapo watoa huduma za uwakala wengi wanaotoa ushauri kama wangu, and it is natural way to respond and retain customers.
Je, hii sio hujuma na hasara kwa Tigo and mawakala wake wakuu?