nimekoma, imebidi niumwe tu, hamna jinsi
nimekoma, imebidi niumwe tu, hamna jinsi
nimekoma, imebidi niumwe tu, hamna jinsi
Pole mkemwenza, wagonjwa leo wako wengi hahahah
Mbona leo hakuna foreni kuingia mjini kkoo na posta? Au sherehe zimeanza tayari?
hahahahaaaa mkuu umeua unaumwa kisa sikukuu?mambo ya kuunganisha hayo.
Nimeamka kabisa, kufika bafuni nikaugua sijui nini, nikarudi kitandani.
Kafanye kazi acha uzembe mkuu.Mbona leo hakuna foreni kuingia mjini kkoo na posta? Au sherehe zimeanza tayari?