Chizy Za kitaa
Senior Member
- Jan 7, 2014
- 167
- 13
Habar zenu wadau,,ndugu yangu amemaliza 4m4 mwaka 2012 alipata div4 ya points26,,civ-D, engl-D, geo-D, kisw-C, histor-C, chem-D, bios-D, math-F..JE nauliza kwa matokeo haya anaweza pata nafac DIT? na course ipi inaweza kumfaa??