1)eti kuna kitu inaitwa ordinary diploma in primary education? namaanisha huyu awe mwalimu wa msingi lakini awe na diploma.
2) ipi bora kati ya grade A na hiyo ODPE ?
3) vyuo vinavyotoa odinary diploma in primary education viko wapi jamani mnipe mwanga
4) dogo ana EEF ataenda kweli dip huyu..mkuje kwa wingi mtoe maono wakuu.