Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 19
.,.Nimesikia mengi kuhusu konyagi na ningependa kupata taarifa zaidi kutoka kwa wana JF kuhusu yafuatayo yanayohusiana na konyagi.
Je ni kweli inaongeza nguvu za kiume??
Je, kwanini wanywaji huifungua kwa staili ya kuipiga nyuma??
Ahsanteni
Haiongezi ngvu za kiume but it can also make it harder to sustain an erection....Nimesikia mengi kuhusu konyagi na ningependa kupata taarifa zaidi kutoka kwa wana JF kuhusu yafuatayo yanayohusiana na konyagi.
Je ni kweli inaongeza nguvu za kiume??
yale ni manjojo tu ikumbukwe konyagi haina gesi hamna logic yoyote kupiga kitako before kuifungua.....aalfu unajua nyingine konyagi ikiwa inanywewa chupa yake iliyobaki na alcohol haisimamishwi....inalazwa kwenye meza na hata baada ya kumiminina kwenye glasi unailaza chupa...Nimesikia mengi kuhusu konyagi na ningependa kupata taarifa zaidi kutoka kwa wana JF kuhusu yafuatayo yanayohusiana na konyagi.
Je, kwanini wanywaji huifungua kwa staili ya kuipiga nyuma??
i wish you ol the best mkuu.....Ahsanteni
Nimesikia mengi kuhusu konyagi na ningependa kupata taarifa zaidi kutoka kwa wana JF kuhusu yafuatayo yanayohusiana na konyagi.
Je ni kweli inaongeza nguvu za kiume??
Je, kwanini wanywaji huifungua kwa staili ya kuipiga nyuma??
Ahsanteni
Haiongezi nguvu za kiume,ila huwa inakufanya uchelewe kufika mshindo,kama unakawaida ya kupinga bao baada ya dk 5 mechi ukinywa Konyangi utapiga bao baada ya dk 15 au zaidi ya hapo.hii ni kutokana na utafiti wangu mwenyewe.

lol sasa hapo suala linakuwa kumkomoa....anyway anaweza kuweka 1 kiloba,1tyson na club soda......lakini wakuu itafikia kule kunakauka hata wewe unaanza kufeel maumivu na kama unatumia mpira kuna hatari ukapasuka.....Mkuu utafiti wako nauunga mkono na mguu, ni kweli! Kama my nanii wako anakusumbua mnyweee viroba viwili.. mpaka umalize mshindo atakuwa kaisha imba nyimbo za kwao zote! Lakini hakikisha nawewe uko barabara vinginevyo mhhh waweza chonga..
Ni kweli kuhusu konyagi inafanya mwanaume akae muda mrefu sana wakati wa kufanya mapenzi.Imeshanitokea hiyo with my partner.
oh really? how long did he go?
Quite sometime
did u enjoy it or u dried out and it became painful?
I think you went too far.Kama unataka kufanya research i would recommend you to try it with your partner and find out for youself.