Eti kisa nina maumbile madogo! Nifanye nini mie?

Maumbile siyo issue kinachotakiwa ni jinsi ya kucheza na hicho kiungo ulichopewa! jitahidi kuwa mbunifu brother.
 
Mkuu napata wasiwasi kama hata hao watoto nenda kapime DNA kuhakikisha kama ni wako. Maajibu yakija kama ni wako nadhani ungeanza mbele kwa mbele. Kuna vitu mtu akivitamka maishani vitakuuma hadi uingie kaburini. Hiyo ni dharau kubwa sana mke kukutukana na kukutamkia kuwa mzee mzima kwenye flies yako ni mdogo. Ningekuwa mimi ningemtimua na ndoa basi kama ulivyofanya. Kama anapenda mashine kubwa basi aende zake atazipata. Tulia, take your time na I'm sure utampta mwengine mwenye heshima anaekufaa. There's always someone for every one of us. Move on
 
shimo lake huwa unalifaidi kweli? Isiwe kuwa ni kashimo ka kutupia takataka akalaumu yako.
 
dah!ndugu yang mkasa wako noma,bt ucjal sana hz ni changamoto tu ktk mahusiano na yakupasa uzigeuze kuwa fursa!ushaur wang kwako ni bora huy mjalaana uachane nae tu no excuse,coz anawez akaja kuzua kubwa zaid kulko hl hapo baadae,waswas wang kwamba aWEza hata kuja kukutangazia kwa watu kuwa JOGOO WAKO HAPANDI MTUNGI KABISAAA!
 
dah!ndugu yngu ishu yako ni noma aise,bt ucjal sn coz hz ni changamoto tu ktk mahusiano na yakupasa uzigeuze kuwa fursa!ushaur wang kwak ni kwamb huy kifuu tundu ni bora uachane nae kabisa,maana waswas wang aweza kuja zusha makubwa zaid kulko hata hlo,waswas wangu aweza akaja akakutangazia kwa umma kuwa hata huy JONGOO WAKO HAPANDI MTUNGI KABISAAA!hapo baadae,coz kheri nusu shari kulko shari kamili.
 
Sijui kwa nini wanawake wengi wakiachwa,tusi la kwanza ni muone kwanza ulikuwa uniridhishi muhogo wako wa jang'ombe mdogo n.k hata Pdiddy alishawahi ambiwa hivyo na Jennifer Lopez lakini nashangaa,JLo ndo kaanza kumfatilia tena pdiddy naq kuanza nae appoitment,Kwahyo usijali mkuu ni stress tu kumuachaaa,Na ishije Ikawa yeye(mkeo) ndo ana mashimo makubwa ya amboni..Evrage Size ni 5"....Na ukubwa pua sio wingi wa makamasi
 
Mkiambiwa mhakiki coursework zenu kabla ya UE mnasema ni mmomonyoko wa maadili. Ona sasa mnavyo disco.
 
Nnamiaka 34 nilioa 2007!nnawatoto wawili.mke wangu amekua tatizo tangu sikutumeoana,baada yakuoana nae week 3 tu nilianza kujuta mpaka tukakutafuta talaka.tumekua tukigombana mara nyingi mpaka anarudi kwao tunasuluhishwa tunarudi tena.mwez wa 6 alinitukana sana na maneno machafu mengi nikanyamaza,baadae nnlimuomba aende nyumban akasalimie alivyoondoka nakufika nilimwambia sitaki kumuona tena afundishwe kwanza maana ya mume then atafute mume mwingine aishi nae,.jana sasa aliniomba arudi nyumban nikamwambia nimevumilia vyakutosha mahusiano yetu yameshaisha kitambo hata kama tulifunga ndoa kanisani ila hii imenishinda. nilikua sio mnywa pombe mpaka nikaanza kunywa.baada ya kumtumia message akaniambia.AMEKUA AKINIVUMILIA SANA NA MAUMBILE YANGU MADOGO LKN NIMEMUONA HAFAI.SASA NAJIULIZA SABABU NDO ILIKUA HIYO NDO MAANA ALIKUA ANANIDHARAU?

naombeni ushauri nifanyaje juu ya hili coz mwanamke huyu sinahamu naye tena yaani namuona kama mwanaume mwenzangu sasa.Je haya maumbile yangu yanaweza niletea shida nikipata mwanamke mwingine sababu sijawihi toka nje ya ndoa yangu na wanawake wote wanyumba hawajawahi niambia hili?je nnaweza kuyakuza?

Pole ndugu! ni kweli kuwa baadhi ya wanawake waliozoea maumbo makubwa kabla hudharau wenye madogo. Swali ni kwa nini alikubali kuolewa na wewe? au ulimchukua bila kumegana? Kwa nini alikubali?. Kama vipi, achana naye huyo aende kwa wenye midude mikubwa na atajuta. La sivyo, tumia mkono. Nadhana mkono wako ukiuungiza wote utafiti. Samahani lakini mkuu.
 
Sweetlol, kwani unadhani sehemu za kumridhisha mwanamke mpaka uwe na li kitu likubwaa,
ziko juujuu, we chezesha karata zako vizuri tu atanyamaza, inaonekana huyo bibie humfikishi ndio
maana anainua mdomo juu kuongea yote hayo, unafikiri ungekuwa unamfikisha angethubutu kuongea
jitume na kibubutu chako utapata heshima tuuu, wala usijali saaana na kukosa raha,ila huyo mwanamke
ni kiboko anawezaje kumwambia mumewe kitu kama hicho loooooo
 
sweetlol, kwani unadhani sehemu za kumridhisha mwanamke mpaka uwe na li kitu likubwaa,
ziko juujuu, we chezesha karata zako vizuri tu atanyamaza, inaonekana huyo bibie humfikishi ndio
maana anainua mdomo juu kuongea yote hayo, unafikiri ungekuwa unamfikisha angethubutu kuongea
jitume na kibubutu chako utapata heshima tuuu, wala usijali saaana na kukosa raha,ila huyo mwanamke
ni kiboko anawezaje kumwambia mumewe kitu kama hicho loooooo

we blackberry mambo?
 
weye mwenyewe ndo unayejua kama ndogo au kubwa....wakati mwingine wanaadam huwa wanaongea maneno yasiyo na ukweli kuumiza wenzao!
 
Nnamiaka 34 nilioa 2007!nnawatoto wawili.mke wangu amekua tatizo tangu sikutumeoana,baada yakuoana nae week 3 tu nilianza kujuta mpaka tukakutafuta talaka.tumekua tukigombana mara nyingi mpaka anarudi kwao tunasuluhishwa tunarudi tena.mwez wa 6 alinitukana sana na maneno machafu mengi nikanyamaza,baadae nnlimuomba aende nyumban akasalimie alivyoondoka nakufika nilimwambia sitaki kumuona tena afundishwe kwanza maana ya mume then atafute mume mwingine aishi nae,.jana sasa aliniomba arudi nyumban nikamwambia nimevumilia vyakutosha mahusiano yetu yameshaisha kitambo hata kama tulifunga ndoa kanisani ila hii imenishinda. nilikua sio mnywa pombe mpaka nikaanza kunywa.baada ya kumtumia message akaniambia.AMEKUA AKINIVUMILIA SANA NA MAUMBILE YANGU MADOGO LKN NIMEMUONA HAFAI.SASA NAJIULIZA SABABU NDO ILIKUA HIYO NDO MAANA ALIKUA ANANIDHARAU?

naombeni ushauri nifanyaje juu ya hili coz mwanamke huyu sinahamu naye tena yaani namuona kama mwanaume mwenzangu sasa.Je haya maumbile yangu yanaweza niletea shida nikipata mwanamke mwingine sababu sijawihi toka nje ya ndoa yangu na wanawake wote wanyumba hawajawahi niambia hili?je nnaweza kuyakuza?

Jibu ni moja tu kwake kuwa ni ndogo kwakwe kutokana na tatizo alilonalo, haiwezekani eneo ambalo hata mtoto anapita wewe uweze kuliweza. yeye atafute ambao ni size yake. Yeye ndiyo huenda anaulemavu.
 
Back
Top Bottom