Money Maker
Senior Member
- Jul 11, 2011
- 146
- 31
Maumbile siyo issue kinachotakiwa ni jinsi ya kucheza na hicho kiungo ulichopewa! jitahidi kuwa mbunifu brother.
Nnamiaka 34 nilioa 2007!nnawatoto wawili.mke wangu amekua tatizo tangu sikutumeoana,baada yakuoana nae week 3 tu nilianza kujuta mpaka tukakutafuta talaka.tumekua tukigombana mara nyingi mpaka anarudi kwao tunasuluhishwa tunarudi tena.mwez wa 6 alinitukana sana na maneno machafu mengi nikanyamaza,baadae nnlimuomba aende nyumban akasalimie alivyoondoka nakufika nilimwambia sitaki kumuona tena afundishwe kwanza maana ya mume then atafute mume mwingine aishi nae,.jana sasa aliniomba arudi nyumban nikamwambia nimevumilia vyakutosha mahusiano yetu yameshaisha kitambo hata kama tulifunga ndoa kanisani ila hii imenishinda. nilikua sio mnywa pombe mpaka nikaanza kunywa.baada ya kumtumia message akaniambia.AMEKUA AKINIVUMILIA SANA NA MAUMBILE YANGU MADOGO LKN NIMEMUONA HAFAI.SASA NAJIULIZA SABABU NDO ILIKUA HIYO NDO MAANA ALIKUA ANANIDHARAU?
naombeni ushauri nifanyaje juu ya hili coz mwanamke huyu sinahamu naye tena yaani namuona kama mwanaume mwenzangu sasa.Je haya maumbile yangu yanaweza niletea shida nikipata mwanamke mwingine sababu sijawihi toka nje ya ndoa yangu na wanawake wote wanyumba hawajawahi niambia hili?je nnaweza kuyakuza?
sweetlol, kwani unadhani sehemu za kumridhisha mwanamke mpaka uwe na li kitu likubwaa,
ziko juujuu, we chezesha karata zako vizuri tu atanyamaza, inaonekana huyo bibie humfikishi ndio
maana anainua mdomo juu kuongea yote hayo, unafikiri ungekuwa unamfikisha angethubutu kuongea
jitume na kibubutu chako utapata heshima tuuu, wala usijali saaana na kukosa raha,ila huyo mwanamke
ni kiboko anawezaje kumwambia mumewe kitu kama hicho loooooo
mkuu uume wangu mie ni nchi 3 nifanyeje mpaka nipite hiyo inch tano?Average size ni inch tano<br />
so wewe kusema madogo<br />
jipime kwanza nchingapi?
mhhhh mkono wako una vidole vingapi> tumia huomkuu uume wangu mie ni nchi 3 nifanyeje mpaka nipite hiyo inch tano?
duh! Niingize mkono kwenye naniliyu? Sasa nikitu100 mkono c hatopata ujauzito?mhhhh mkono wako una vidole vingapi> tumia huo
nakuambia tuko wengi dada yangu ila naomba unitunzie siri.hahahaaaaaaaaaaaaaaa kumbe mko wengi?
Average size ni inch tano
so wewe kusema madogo