RAIS Jakaya Kikwete amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kuwa makini na utatuzi wa suala la matatizo ya umeme ili kuiepusha nchi kuingia katika kashfa kama iliyosababishwa na Mkataba wa Richmond.
Katika hatua nyingine, Rais Kikwete ameagiza kuwekwa pembeni kwa ushabiki wa kisiasa katika utekelezaji wa miradi ya uzalishaji umeme ili kuweza kufikia malengo yaliyowekwa na serikali ya kuzalisha zaidi ya megawati 1,130 za umeme ifikapo mwaka 2013.
Rais Kikwete aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na maofisa wa Idara na Mashirika yaliyo chini ya Wizara ya Nishati na Madini katika ziara yake ya kikazi ya siku moja kwa wizara hiyo jana.
HabariLeo | Kikwete acharuka, amtaka Ngeleja awe makini
Tanzania haijaanza kukaa kiza kipindi cha JK, nakumbuka alipoingia madarakani alirithi kiza kikubwa kutoka kwa??? Utajaza mwenyewe. At least JMK anafanya jitihada za kweli za kukiondoa kiza. Wa kabla yake, wooooote, walifanya nini?
Mbona yuko makini long time au mi naangalia vibayaMtu anauchapa tena mbele yake ataweza kumwajibisha kweli?
Kikwete maneno meeeeeeng vitendo hakuna,kila nikimwangalia rais nacheka sana,wakati wa kampeni aliahidi kuwaletea meli watu wa Chunya wakati hata ziwa hawana!
hajawa adui yangu kiasi hicho!had nimsingizie uongo.[/COLOR]
hizi ndo ahadi zile alisema huwa mnaziongeza tuu! hahhaha mkuuu umeongeza hii!
hawa jamaa ni marafiki wa karibu,so sijawahi ona rafiki akimkemea rafikie kwa swala la ulaji,ukizingatia urafiki ndio uliofanya Ngereja kuteuliwa hapo alipo
hehehehe,naungana na mwana jf kuwa ni mchezo wa kuigiza tuuuu
Mtu anauchapa tena mbele yake ataweza kumwajibisha kweli?
Tanzania haijaanza kukaa kiza kipindi cha JK, nakumbuka alipoingia madarakani alirithi kiza kikubwa kutoka kwa??? Utajaza mwenyewe. At least JMK anafanya jitihada za kweli za kukiondoa kiza. Wa kabla yake, wooooote, walifanya nini?
Tanzania haijaanza kukaa kiza kipindi cha JK, nakumbuka alipoingia madarakani alirithi kiza kikubwa kutoka kwa??? Utajaza mwenyewe. At least JMK anafanya jitihada za kweli za kukiondoa kiza. Wa kabla yake, wooooote, walifanya nini?
We hujui kuwa huyo ni Makamba?Wewe nafikiri umegoma kutumia Akili yako au umeazimisha, kama zipo unakumbuka MOtto wa JK wakati anaingia Ikulu? NIkukumbushe MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, JE HAYO UNAWEZA THIBITISHA LEO BAADA YA MIAKA SITA MADARAKANI?