Eti kanitumia Mwaliko wa Engagement Party

Eti kanitumia Mwaliko wa Engagement Party

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,694
Huyu Bi dada tuliachana kama mwaka hivi umepita baada ya kuwa naye kwnye mahusiano kwa mwaka na nusu hivi na kugundua hatuwezi kuwa mke na mume.Tulikubaliana kuachana but hakuafiki kabisa na ilipelekea yeye kunichukia na kubadilisha kabisa number zake za simu,

Maisha yaliendelea na nilimuoa mke wangu mpendwa mnamo mwaka jana.

Kama mwezi hivi baada ya harusi yangu nilipokea call kutoka kwenye number mpya,kumbe ni bi dada alidai ananipa hi niliitika poa na mawisiliano yaliishia hapo kwani aliniambia hiyo si number yake ni number ya rafiki yake.

Sasa from no where juzi napokea bahasha nzuri yenye mwaliko wa Engagement Party na akisisitiza nisikose.

Nashindwa kumuelewa huyu bi dada wakuu? na cha ajabu sana bado anawasiliana na watu wangu wa karibu kudadisi kuhusu maisha yangu as if ana wish mabaya juu yangu? maoni yenu juu ya huyu BI dada wakuu..
 
Huyu Bi dada tuliachana kama mwaka hivi umepita baada ya kuwa naye kwnye mahusiano kwa mwaka na nusu hivi na kugundua hatuwezi kuwa mke na mume...tulikubaliana kuachana but hakuafiki kabisa na ilipelekea yeye kunichukia na kubadilisha kabisa number zake za simu,Maisha yaliendelea na nilimuoa mke wangu mpendwa mnamo mwaka jana...Kama mwezi hivi baada ya harusi yangu nilipokea call kutoka kwenye number mpya,kumbe ni bi dada alidai ananipa hi niliitika poa na mawisiliano yaliishia hapo kwani aliniambia hiyo si number yake ni number ya rafiki yake...sasa from no where juzi napokea bahasha nzuri yenye mwaliko wa Engagement Party na akisisitiza nisikose...nashindwa kumuelewa huyu bi dada wakuu? na cha ajabu sana bado anawasiliana na watu wangu wa karibu kudadisi kuhusu maisha yangu as if anawish mabaya juu yangu? maoni yenu juu ya huyu BI dada wakuu...

Mara nyingi x lovers wanapend kukuon ukiwa haupo ktk hali nzuri...wew timba na mkeo ukiwa ful mzuk n bonge la smile showng that ur wife ana kupa raha tu...then uone atakavyo kuwa
 
you may go with ur wife bt mpe full story ila akishauri msiende msikilize!
 
anakuvuta ili umchangie na harusi. akwendreeeeeeee zake.
 
hivi huwa ina maana gani hii kitu!!sijui nahau,methali, msemo au kitendawili!!!!

original-1380088409300.png

Picha hiyo hapo juu inamuonesha mdudu chungu...

Hawa wadudu kama walivyowengine hupenda kula vitu vyenye asili ya sukari sukari...

Sasa sisi wanadamu tunapokula miwa baada ya kuifyonza sukari yote huwa tunatema makapi tukiona kama hayafai...

Lakini kumbe kwa mdudu chungu kwake hicho ndio kwanza kama chakula kipya(kivuno) na atakula bila kujua ni masalia...

Sasa methali hiyo inashahabiana na hali halisi ya maisha, mtu uliyeachana naye ukiona hakufai kumbe kwa mwenzako ni faida na akimpata hamuachi
 
umeachana nae mwaka mmoja uliopita,
umeoa mwaka jana ( am not sure ni mwezi gani).
ina maana ulioa miezi michache tu baada ya kuachana .
huyo mke wako ulikuwa nae kwenye uhusiano kwa muda gani kiasi cha kufunga ndoa!
kwa mahesabu yako inanipa wakati mgumu kuiamini stori yako.
 
picha na melezo yametulia hata kilaza anaelewa!mkuu unafundisha wapi nikianzisha chuo nikuhamishie kwangu!!u mwalimu mzuri eti!
 
mkuu ni story ndefu kidogo...but hiyo ndo hali halisi..katika maisha ya ujana kuna vitu vinatokea...nilikuwa na mahusiano na mke wangu kabla ya huyo bibi dada....hapo kati kuna mambo yalitokea ikapelekea nianze uhusiano na huyo bi dada kaka
 
sion km kuna haja ya kwenda.. mwaliko unaashria SHARI huo,
achana nao,
 
picha na melezo yametulia hata kilaza anaelewa!mkuu unafundisha wapi nikianzisha chuo nikuhamishie kwangu!!u mwalimu mzuri eti!

Hahaha!!!

Sina kabisa huo wito wa ualimu na wala sijawahi fikiria kuwa mwalimu mkuu...ila shukrani kwa kuelewa hayo maelezo machache.
 
Back
Top Bottom