Eti jirani naye ataka.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti jirani naye ataka....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kingmairo, Apr 18, 2012.

 1. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Wanabodi ngoja niwapatie mchapo wa mapenzi uliomtokea swaiba wangu wa karibu. Jamaa aliopoa jimama na wakadumu katika uhusiano takribani miezi miwili(2). Cha ajabu kila wakati wakidu lile jambo jimama linataka mkao fulani tu ila swaiba haelewi. Baada ya kuona jamaa haelewi kabisa siku moja wakati wa ku-do akamwambia, "JIRANI NAYE ATAKA"!! Toka hapo swaiba kaenda kumjengea bifu jirani yake lakini cha ajabu siku nyingine wakati wa ku-do akamwambia tena! Swaiba ndo akauliza nini maana yake? Ndo jipu likapasuliwa pwaa! kuwa na nyuma pia hamu........ Swaiba kadata amekolea! Tabia hiyo imemuudhi ila anashindwa kumtosa amekolea.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hizi story haziishi
   
 3. K

  Khamisi Kombakono New Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It's corny.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmmmmh.....
   
 5. k

  kabye JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwambia amtia tu, aina shida vyote vyaka
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Ngoja niangalie chelsea na barca kwanza!
   
 7. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,986
  Likes Received: 20,388
  Trophy Points: 280
  Mod, hii haistahili hapa, hamishia jukwaa la chini, majirani wanakotakana
   
 8. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  mhh kuna njia hapa? Napita.
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh . . .
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Ngoja niangalie chelsea na barca kwanza!
   
 11. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  na kweli ni majirani, kitu kizuri share na nduguyo..
   
 12. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Ilo limama linatokea visiwa vya karafuu nini?? Maana maswayiba ao wa karafuuni wako radhi k urukwa ukuta ili maeneo rasmi yaendelee kuwa tight
   
 13. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hii inakufaeni kule kwenye jukwaa lenu na maswahiba zako WHISPER, Kimbweka.com

   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  ngapi ngap hadi sa hzi mkuu?
   
 15. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  aaah, kule homeground siyo...
   
 16. paty

  paty JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  dah , stori za ushoga, na kulana tigo humu ndani zimekuwa nyingi mno, hii inaonyesha haya matendo yameshika kasi sana hapa BONGOLAND,

  MUNGU ATUEPUSHE MAANA TUMESHINDWA KUJIEPUSHA WENYEWE ..

  UKIMWI utatumaliza kwa tabia hizi za kulana tigo
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh....
   
 18. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Astakafiru !astakafiru !astakafiru......
   
 19. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Dah, siku hizi MMU inaniboa sababu ya ***** kama huu!
   
 20. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Inawezekana ni watu wachache tu wameamua kuya-promote humu. Hivi unadhani ni asilimia ngapi ya watanzania wana-access na wavuti?
   
Loading...